Imani za kishirikina haziwezi fua dafu ukiwa unatoa fungu la kumi, Je hivi ni kwanini?

Vipi kama mshahara umetoka jumanne na kanisani ni jumapili unawezaje kutoa fungu la kumi kabla hujaanza kutumia mshahara maana j4 hadi jpili ni mbali au unatenga kabisa fungu kabisa kwajili ya kulito jpili kisha zingine zinaanza matumizi j4 hiyo hiyo? Na kinachotokiwa kutolewa fungu la kumi ni basic salary au ni ile yenye jumla ya marupurupu? Labda basic salary ni 540,000 NSSF wakachukua 54,000 ukabaki na 486,000 lakini utakuta kuna marupurupu hapo mala overtime 100,000 special duty 150,000 hivyo ukajikuta kinachoingia mfukoni ni 736,000. Sasa je fungu la kumi linatakiwa litoke kwenye figure ipi kati ya hizo? Nahitaji kufahamu hapo.
 
Frem ya chips nyama choma hiyo
 
Fungu la kumi hali saidii lolote kwenye uchumi wako,
Cha muhimi sana ni kuweza ku managed kipato chako unacho kupata, kitu ambacho ni kigumu kwa watu ambao hawana exposure
 
Hakunaga kitu kinaitwa fungu la kumi. Hiyo ni chuma ulete kama zingine. Nilishafafanua.
 
Basic na siyo gross. Kibongo bongo basic na overtime wanaziunganisha pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…