a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 611
- 993
ZAKA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi kama mshahara umetoka jumanne na kanisani ni jumapili unawezaje kutoa fungu la kumi kabla hujaanza kutumia mshahara maana j4 hadi jpili ni mbali au unatenga kabisa fungu kabisa kwajili ya kulito jpili kisha zingine zinaanza matumizi j4 hiyo hiyo? Na kinachotokiwa kutolewa fungu la kumi ni basic salary au ni ile yenye jumla ya marupurupu? Labda basic salary ni 540,000 NSSF wakachukua 54,000 ukabaki na 486,000 lakini utakuta kuna marupurupu hapo mala overtime 100,000 special duty 150,000 hivyo ukajikuta kinachoingia mfukoni ni 736,000. Sasa je fungu la kumi linatakiwa litoke kwenye figure ipi kati ya hizo? Nahitaji kufahamu hapo.Nina mengi ila nakupa ushuhuda mdogo sana.
Nilikuwa na madeni ambayo chanzo chake ni uchawi/roho ya chumaulete. Coworkers nao ni washirikina na wamepigana kuniharibu, na taarifa zote napata kupitia ndoto/ulimwengu wa roho ambazo ni za uhalisia, na mwishowe kupata matokeo yake ktk ulimwengu wa mwili. I was suffer kinyamaaa!
Uzuri nilikuwa natoa taarifa kwa kulalamika kwa mchungaji na viongozi wengine wa dhehebu langu, so mchungaji akanishauri kuvunja madhabahu walizojenga maadui zangu kwa kutoa sadaka. Baada ya hapo akanishauri kuanza kutoa 10%. Imagine nina madeni na ninapaswa kutoa 10%! Ni ngumu sana mzee ila ilinibidi nitumie imani ya KIMUNGU, nilitoa 10% kabla sijatumia pesa yoyote ktk mshahara wangu even kulipa deni! Guess what happen? Baadhi wafanyakazi wenzangu wakaanza kunikwepa na mwingine kuniita mchawi na mambo maovu yakaanza kuwarudia wao.
Frem ya chips nyama choma hiyoAsee ni kwelii
Me bwana niliwahi fungus biashara ya kwanza sikutoa Zaka wala nn. Basi nikapitia changamoto ya kuuguza mtu wa karibu ikakosa usimamizi nikaifunga. Sikupatq hata mteja wa kununua zile kabati za vioo had Leo ziko stoo
Bas baada ya muda kama miaka 3 mbele nkafungua tena biashara Ila ile HeLa niliitolea zakaa. Kutokana na changamoto za umbali nikashindwa kusimamia. Nimekaa miezi 2 kimya sifungui maana sikuwa hata na Kodi kwa kuwa sijafungua. Nikawa nawaza nifunge tu Ila nkasema zile shelf ntazihifadhi wapi, grills na kabati zingine. Wakati bado najitafakari mwenye frem akanipigia nkajua a naomba Kodi kumbe alikuwa ananiambia vipi bado unahitaj hii frem nikamwambia usimamizi nashindwa kuisimamia Bora nimpe mtu anirudishie changu. Basi akanambia kuna wateja wamefika hapa wanataka wafungue biashara kama yako. Njoo muelewane mhesabiane gharama za vitu waichukue. Nilienda asee Yule kaka alinunua Hadi viti vibovu. Vitu alivyoacha ni vile mm mwenyewe nilikataa. Akanipa milion zangu kadhaa cash sikuamini. Kuanzia shelf za kisasa, grill LA mlangoni, na kila takataka iliyokuwepo. Zaka ni mwisho wa matatizo
Basic na siyo gross. Kibongo bongo basic na overtime wanaziunganisha pamoja.Vipi kama mshahara umetoka jumanne na kanisani ni jumapili unawezaje kutoa fungu la kumi kabla hujaanza kutumia mshahara maana j4 hadi jpili ni mbali au unatenga kabisa fungu kabisa kwajili ya kulito jpili kisha zingine zinaanza matumizi j4 hiyo hiyo? Na kinachotokiwa kutolewa fungu la kumi ni basic salary au ni ile yenye jumla ya marupurupu? Labda basic salary ni 540,000 NSSF wakachukua 54,000 ukabaki na 486,000 lakini utakuta kuna marupurupu hapo mala overtime 100,000 special duty 150,000 hivyo ukajikuta kinachoingia mfukoni ni 736,000. Sasa je fungu la kumi linatakiwa litoke kwenye figure ipi kati ya hizo? Nahitaji kufahamu hapo.