Imarisheni ulinzi wa viongozi wetu kama wao wanavyoimarisha ulinzi wa mtu wao

Imarisheni ulinzi wa viongozi wetu kama wao wanavyoimarisha ulinzi wa mtu wao

Mushkov

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
667
Reaction score
1,403
Nimesikia kwamba kwa sasa wameanza kuvaa mask ili wasitambulike na wanafuatilia mikutano ya John Heche. Napendekeza hivi:-

1. Kila mkutano unapofanyika hakikisheni kuna kikosi maalumu cha kuwalinda viongozi.

2. Ikiwa kutakuwa na mtu/watu mnaowashtukia, hakikisheni kila walinzi wenu watano wanamzingira kibaka mmoja bila yeye kujua. Yaani watatu mbele yake na wawili nyuma yake. Hao walinzi wahakikishe wanajua kila anachokifanya na popote anaposogelea na wao wawepo. Naamini watu watano hawawezi kushindwa kumdhibiti mtu mmoja.

Lakini wasimfanye chochote kama yeye hajafanya chochote. Nazungumzia kwa wale wasiojulikana kama ni askari polisi au la.

NB:- Viongozi wanatakiwa kulindwa kwa gharama yoyote na kwa wivu mkubwa sana

Tusikubali tena kukaa kikondoo.
 
Maafisa wahakikishe wana body cameras muda wote among others tupate sura zao na nyumbani za viongozi camera na ziwe na access kwa watu kadhaa muhimu kabisa! Records zipatikane muda wote za kimsingi!

Asichukuliwe tena mtu kama alivofanywa Mdude bila traces
 
Maafisa wahakikishe wana body cameras muda wote among others tupate sura zao na nyumbani za viongozi camera na ziwe na access kwa watu kadhaa muhimu kabisa! Records zipatikane muda wote za kimsingi!

Asichukuliwe tena mtu kama alivofanywa Mdude bila traces
Haswaaa.
 
Nami nasema ikitokea mwenzenu kachukuliwa na polisi, na mkamtambuwa kuwa ni polis, au mkamtambuwa kuwa si polisi bali kujitia kuwa polisi na kamdhuru ndugu yenu na mmemtambuwa kwa usahihi. Basi nanyi mtendeeni vivyo hivyo kama alivyomtendea ndugu yenu. Kama ndugu yenu kauliwa basi nanyi ueni, kama ndugu yenu kapotezwa basi nanyi potezeni. Katika Hali tuliyo nayo sasa, si dhambi kuuwa, kupoteza ama kudhuru yeyote yule anayehatarisha uhai wako.
Polisi akitaka kukukamata ajitambulishe na apigwe picha kisha aseme anakupeleka wapi.
Ktk mazingira yanayo hatarisha usalama wako hulazimiki kufuata sheria bali uhakika wa usalama wako, sheria baadaye, kwani hata hao wenye shamans ya kukulinda hawafuati sheria penye tishio la maslahi yao.
Kwa Hali tuliyo nayo habari ya jino kwa jino ama jicho kwa jicho ni Halili sii dhambi kuuwa anyetaka kukumaliza.
 
Back
Top Bottom