Imeandikwa: Usimuache mwanamke mchawi aishi! Nimeapa kulipiza kwa gharama yoyote

Imeandikwa: Usimuache mwanamke mchawi aishi! Nimeapa kulipiza kwa gharama yoyote

wewe ni muongo kama huamini kaniroge na mimi nipo hapa mbezi ukiweza njoo uniite mbwa [emoji57][emoji57][emoji57]
 
Wachawi uitwa wapumbavu sababu ndio viumbe wenye akili finyu kuliko kiumbe yeyeto chini ya jua, maana ujituma kweli kweli kufanya Kazi isiyo na mshahara wala faida si kwao hata kwa Jamii, adhabu yao kuu hukumu ya kifo.
 
Back
Top Bottom