Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Uchawi raha sana ukijua kuupangua,unakuwa unawachora sana wachawi
Nalog off Z
Nalog off Z
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bajaj zipo tokea 20072011 bajaji Zilikua Zishajaa eeh?? Naomba Mnikumbushe... Nazeeka sasa Kumbukumbu Zinapotea
Nakataa hapo unatudanganyaBajaj zipo tokea 2007
Ulikuwa bado unanyonya dogo au ulikuwa villageNakataa hapo unatudanganya
Acha uongo atakamUlikuwa bado unanyonya dogo au ulikuwa village
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Imalize yote buana... tuone hayo makosa makubwa uliyoyafanya
Wachawi ni maadui wakubwa sana kwenye maisha
Ina maana ww hujui kusali ? Utaua watu wangapi kwa dunia ya sasa?
Umnchekesha sana[emoji848][emoji23][emoji23]Ifike muda tusihurumiane kwenye maisha. Mtu anayekukwamisha kwenye maisha ni adui namba mmoja kwahiyo adhabu yake ni kifo.
Kuna jamaa namsikilizia ana 350k, sasa aendelee kujichanganya tu. Nimfanyie kitu mbaya
Hahaaa,sawa mkuu nisamehe.Pole sana kwa mapito uliyopitia ila jifunze kuandika vizuri. Haiwezekani mtabibu umemaliza chuo mpaka nje ya nchi umeenda hujui kuacha space, coma, wapi uweke herufi kubwa n.k. Nakupa onyo la mwisho jirekebishe.
...Kumbe Uliisha lipiza???...Inaendelea....
Baada ya kufika mkoa Y,maisha yaliendelea vizuri kiofis na kiuchum kwa takriban miez miwili,baada ya hapo Mambo yakaanza kuyumba kwa mbali ,,,Baada ya mda nilianza mahusiano na msichana mmoja baada ya mwaka alinipeleka kwao na kujitambulisha, Mambo yalienda vizuri Kisha mwez mbele alinipigia simu na kunifahamisha kwamba hayupo teyar kuwa na mm,, niliumia Kisha nilimove on,,,
Baada ya hapo Kuna siku namba ngeni ilinipigia baada ya kupokea na salama ,alijitambulisha kwamba yeye ni F " nilimsikiliza nikamwambia alikuwa anasemaje,,akajibu alikuwa ananisalim na pia alikuwa anaulizia Kama nilishafunga ndoa pia ofisini kaz inaendeleaje..
Sikuwa na jibu Kisha nilikata simu na kufuta received call,,baada ya hapo Mambo yakazidi kuwa magumu haswa kiuchum pia kila nilipoanza mahusiano mapya sikudumu nayo bila sababu mwanamke husika katika mahusiano aliniacha bila sababu yoyote.Baada ya kuona hivo nikaona isiwe tabu acha niende nikaongeze elimu(kozi ya taaluma).
Nilifanikiwa kupata nchi fulan nje ya Tz,,hivo niliondoka baada ya mwaka kupita kwenye what's up iliingia namba mpya ikinisalim baada ya hapo kucheck profile niligundua ni huyo F"sikutaka maelezo nae yoyote hivo nilimblock,,baada ya kumaliza kozi nilirud kazin lakini Hali ilizidi kuwa mbaya maana kila sehemu nilipoingia nilionekana Kama kibaka hakuna mtu aliyenipenda yoyote,,,ndipo ndugu yangu mmoja aliniita pembeni na kunikalisha chini na kunielezea kwamba mimi sipo kawaida na inaonekana Kuna mtu kanitupia roho ya kukataliwa na kutokukubarika,,,baada ya kuangaika huko na huko nilienda Visiwan (Pemba)Kuna mzee ni ndugu yangu yupo huko ndipo kwenda kwa mtaalam mmoja.
Baada ya Safari ndefu tulifika kijijin hapo ambapo ni nyumba ipo mwituni peke yake ikizungukwa na makabuli ya kale,, baada ya hapo tulipokelewa na huyo Mzee na kumuelezea kinachonisumbua,,Baada ya dk 10 aliagiza kalai (beseni) lenye maji na kuletewa ,aliliweka chini na kuyazungusha maji baada ya hapo alitokea yule mbaya wangu kwenye Yale maji na yule mzee akaniambia huyu ndio mbaya wako,,,Je !?unataka tumfanye nn!?Mm bila hiana nilimwambia kwa jins nilivyoteseka na alivyonitesa nachotaka ni Kumuua,,Yule mzee akaniambia upo teyar kuua!?
Nikamwambia nipo teyar,,aliagiza kisu Kisha akanipa na kuniambia mchome hicho kisu kupitia kwenye hayo maji ,,,Mm sikuwa na pingamiz nilimchoma na ndan ya sekunde maji yote yalibadilika na kuwa mekundu( damu kabisa)...baada ya hapo tuliaga na kuondoka tulianza Safar ya kurud mkoa Y moyon nikiwa nimeridhika haswa na nilichokifanya.Baada ya kufika mkoa Y maisha yaliendelea na baada ya mwez mbele alinipigia simu rafik wa F" na kuniambia kwamba F hatunaye Tena alifariki kwa ajali ya kugongwa na gar na tulishamzika wiki tatu nyuma.na hapa ndipo ukawa mwanzo mpya wa maisha yangu bila ya mtesi wangu.(RIP F").
Mwisho.
My take:sitangazi uganga sipo teyar kumuelekeza members yoyote kwa lolote .