Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
Waislam wametawala nchi hii miaka 15. Ndio maana umaskini umekuwa mwingi.
kwa hiyo unamanisha wale ambao mama anawapigia magoti nao wanashida zao piaBaada ya sakata kuendelea kupamba moto huku na huku. Imenibidi nianze kuifuatilia United Arab Emirates. Nimefuatilia historia yao na mimefuatilia uchumi wao.
Chanzo kikubwa cha mapato katika nchi yao ni mafuta. Hiki ndicho chanzo kikubwa cha mapato.
Sasa cha kushangaza kabisa ni kutokana na mafuta kuisha. Kulingana na estimate za kitaalam mafuta hayo ndani ya miaka 18 yatakuwa yameisha.
Ka nchi ni kadogo na jangwa kila kona. Wanaona kabisa anguko lao linakuja kwa kasi.
Dalili za Nauru zinawanukia kwa kasi. Sasa wanatafuta kwa nguvu zote na kwa hila zote makoloni au ardhi katika nchi zingine.
Wanajaribu kutengeneza artificial tourism na vitu vingine vingi ili kuweza kujinusuru. Lakini kusema kweli anguko lao li karibu. Ndani ya miaka 18 tutashuhudia mengi mno yakiwapata.
Sisi kama nchi hatutakiwi kabisa kutumia natural resources zetu kwa pupa. Zipo wala haziozi. Tuzitumie kwa umakini sana.
Nitaendelea kueleza na kuleta references.
Duuuh! Ndio umeandika upuuzi gani hapa? Nani anategemea rasilimali zako kuendesha maisha yake? Achana na stori za vijiweni wewe ishi kwenye uhalisia, wewe unategemea utalii ila mwenzio anaingiza pesa nyingi kwenye utalii kuliko wewe
Tumia akili wewe, utalii nimeuweka kama mfano tu kuonyesa waarabu wametuacha mbali kwenye kila kitu licha ya kuwazidi rasilimaliDear boy!
Sasa hapa Mimi na wewe nani kaandika upuuzi?! Huo utalii umezungumziwa wapi na nani??
You sound like an empty pot.
Utajiri wa kutegemea Natural resources umepitwa na wakati!? Wewe punguwani nini? Unaongelea utajiri halafu unatoa mfano wa ufaransa? Sidhani kama akili zako ziko sawa.Utajiri wa kutegemea natural resources ulishapitwa na wakati,
1. Ufaransa ana umeme wa uhakika,
Ila anauzalisha kwa kutumia uranium ya NIGER, ambapo NIGER ananunua umeme kutoka NIGERIA, Na juzi kakatiwa umeme na NIGERIA KISA jeshi kumpindua Raisi wao.
2. Ufaransa Ni ya 5 kwa hazina kubwa ya DHAHABU duniani, ila haina mgodi hata mmoja. DHAHABU Yake nyingi anaipata nchini MALI, Alikojenga hadi kambi ya jeshi kwenye migodi[emoji26]
Apo unazungumziaje mtoa mada[emoji848]
Mzee tunaongelea sustainable economy. Hata Nauru ilikuwa imetuacha mbali sana.Tumia akili wewe, utalii nimeuweka kama mfano tu kuonyesa waarabu wametuacha mbali kwenye kila kitu licha ya kuwazidi rasilimali
Sasa nataka utueleze kuwa umeongea uongo. Umesema eti GDP ya UAE only 10% ndiyo inategemea petroleum!!!
Hii ya UAE kuanguka kiuchumi inaongelewa huku kwa masikini ambapo kuna uchumi mmbovu kupindukia, waarabu wanajua nini wanafanya mzee, hao labda itokee vita ndio waanguke kiuchumi, wana akili kuliko wewe, ndiomaana leo dunia inakimbilia uarabuni kwenye pesa.Mzee tunaongelea sustainable economy. Hata Nauru ilikuwa imetuacha mbali sana.
But UAE hawana sustainable economy, the death of their economy is around the corner.
Hapa tunaongea facts hatuongei uchambaji.
Tatizo kubwa la UAE ni kukosa human capital. Tofauti kabisa na nchi zingine.
Huwezi kuona tunaiongelea Brazil kuanguka kiuchumi hivi karibuni.
Why?
1. It has huma capital.
2. It has different type of resources.
Do you know 89% ya wafanyakazi wa UAE are foreigners?
Hatuongei blah blah hapa. Hizi ni tafiti za kiuchumi mdogo wangu. Na mifano ipo nchi nyingi tu zilikuwa na uchumi mkubwa lakini zilianguka. Kutokana na mambo hayo niliyo kueleza.Hii ya UAE kuanguka kiuchumi inaongelewa huku kwa masikini ambapo kuna uchumi mmbovu kupindukia, waarabu wanajua nini wanafanya mzee, hao labda itokee vita ndio waanguke kiuchumi, wana akili kuliko wewe, ndiomaana leo dunia inakimbilia uarabuni kwenye pesa.
Nakuona masikini ukisubiri anguko la tajiri, utangoja mileleHatuongea blah blah hapa. Hizi ni tafiti za kiuchumi mdogo wangu. Na mifano ipo nchi nyingi tu zilikuwa na uchumi mkubwa lakini zilianguka. Kutokana na mambo hayo niliyo kueleza.
Nimekuambia uje na facts za kiuchumi kuweza ku support jibu lako.
Niambie how sustainable UAE economy is?
Je, inaweza kuwa na uchumi huu ulio nao kwa miaka mingapi?
Njoo na facts. Acha mbwembwe. Nimekuletea tafiti za kisomi wewe unaleta mihemko.
Halafu unaleta hoja za kivita ambazo sijaziongelea.
Nimeleta hoja za Human Capital mdogo wangu.
Nimekupatia mfano wa Nauru. Umejaribu kusoma?
Hapa tunajadiliana hatuongei mipasho.Nakuona masikini ukisubiri anguko la tajiri, utangoja milele
Sijui kama unajua kusoma kingerezaNakuona masikini ukisubiri anguko la tajiri, utangoja milele
Maoni ni kuwa si rahisi kuanguka kiuchumi Kwa sababu washafanya uwekezaji kwenye nchi nyingineLeta facts wewe acha mbwembwe.
Topic tunayoongelea ni 18 to come United Arab Emirates itakuwa imeishiwa mafuta.
Wewe maoni yako ni yapi?
Kuna msemo nimeusoma mahali unasema hivi;Pia nawe fikiria hatma yako ya ukali wa maisha baada ya wao kuisha,
Tatizo hawana human capital.Maoni ni kuwa si rahisi kuanguka kiuchumi Kwa sababu washafanya uwekezaji kwenye nchi nyingine
Narudia tena, pale masikini anapokaa kusubiri anguko la tajiriSijui kama unajua kusoma kingereza
1. Nauru: As you mentioned, Nauru was once one of the wealthiest nations per capita due to phosphate mining, but its economy suffered due to mismanagement and resource depletion.
2. Qatar: While not fallen into poverty, Qatar experienced a significant economic slowdown after a drop in oil prices, impacting its high GDP per capita.
3. Kuwait: Similar to Qatar, Kuwait faced economic challenges when oil prices dropped, affecting its previous high GDP per capita.
4. Trinidad and Tobago: Reliance on oil and gas led to prosperity, but economic volatility resulted from fluctuations in energy prices.
5. Brunei: Dependent on oil and gas, Brunei's GDP per capita has fluctuated due to changes in global energy markets.
6. United Arab Emirates: The UAE's economy, based on oil and tourism, has faced volatility due to fluctuations in oil prices and external economic factors.
7. Bahrain: Economic dependence on oil and financial services has led to fluctuations in GDP per capita.
8. Oman: Oil-dependent Oman experienced economic challenges when oil prices declined, affecting its high GDP per capita.
9. Saudi Arabia: Despite being a wealthy oil producer, Saudi Arabia's economy has faced challenges during periods of low oil prices.
10. Luxembourg: As a global financial hub, Luxembourg's economy can be sensitive to international financial trends.
Mzee hapa tunaongea tafiti. Hakuna anayesema kusubiri anguko. Jadili kisomi acha kuleta maneno. Kama mada imekushinda zipo mada nyingi za size yako.Narudia tena, pale masikini anapokaa kusubiri anguko la tajiri
Kuna wajinga hawaelewi hiliBaada ya sakata kuendelea kupamba moto huku na huku. Imenibidi nianze kuifuatilia United Arab Emirates. Nimefuatilia historia yao na mimefuatilia uchumi wao.
Chanzo kikubwa cha mapato katika nchi yao ni mafuta. Hiki ndicho chanzo kikubwa cha mapato.
Sasa cha kushangaza kabisa ni kutokana na mafuta kuisha. Kulingana na estimate za kitaalam mafuta hayo ndani ya miaka 18 yatakuwa yameisha.
Ka nchi ni kadogo na jangwa kila kona. Wanaona kabisa anguko lao linakuja kwa kasi.
Dalili za Nauru zinawanukia kwa kasi. Sasa wanatafuta kwa nguvu zote na kwa hila zote makoloni au ardhi katika nchi zingine.
Wanajaribu kutengeneza artificial tourism na vitu vingine vingi ili kuweza kujinusuru. Lakini kusema kweli anguko lao li karibu. Ndani ya miaka 18 tutashuhudia mengi mno yakiwapata.
Sisi kama nchi hatutakiwi kabisa kutumia natural resources zetu kwa pupa. Zipo wala haziozi. Tuzitumie kwa umakini sana.
Nitaendelea kueleza na kuleta references.