Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #21
Bahati nzuri yeye mwenyewe anasema anaheshimu mume wa mtu, nitakuwa natuma matumizi kiasi, ila kuchakata hapana; akishapata mchakataji mpya, mahusiano yatapungua sanaNanunajihakikishia kabisaa huyo mchepuko akishajifungua atakaa kwa kutulia.
Unawajua wanawake au unawala kimasihara tu?