Imebidi nitumie njia ya kisayansi kuupiga chini mchepuko unaonifilisi

Imebidi nitumie njia ya kisayansi kuupiga chini mchepuko unaonifilisi

Mkuu ulifanya kosa kubwa sana kuzaa na golddigger.
Hawa makucha Yao halisi utayaona akishajifungua mwanao.
 
“You’ll Lose a lot of Money by Chasing women...But you’ll NEVER lose Women by Chasing Money”
 
Hiki ulichoandika hapa ndo huwa kinasababisha mahusiano yangu mengi kuvunjika.

Roho inaniuma sana kutumika kwa maslahi ya mwanamke so finally huwa tunaachana ivo tu na mara nyingi simwambii mwanamke kama it’s over nataka tu mawasiliano mbeleni huwa nablock namba kila sehemu imeisha hiyo.

Wanawake baadhi yao hata kama ana kazi ila anataka akuegemee 100% sasa si ufala huo[emoji23]
 
Back
Top Bottom