Imedhihilika wazi CHADEMA baada kuwa chini ya Lissu na Heche imejijenga mioyoni mwa Watanzania

Imedhihilika wazi CHADEMA baada kuwa chini ya Lissu na Heche imejijenga mioyoni mwa Watanzania

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Ni kuwa Watanzania wana imani na CHADEMA ya sasa hivi kuliko kipindi Cha Mbowe.

Fikikiria huu uonevu unaofanyika kwa kufungwa jela mwenyekiti wao. Kufungiwa ofisi. Na kukamatwa na polisi kama wana kamata kuku wakati wafuasi wa Chadema sio waharifu.

Leo Tanzania nzima watu wanasheherekea miaka 33 kwa bashasha na kupiga kifua mbele kuwa sasa ukombozi unakaribia.

Kushusha bendera na kukamata watu hovyo ni kumwaga kutwanga maji.
 
Hakika CHADEMA ya sasa ni CHADEMA ya ukombozi kwa Taifa la Tanganyika. Ndiyo chama pekee kinachoaminika katika kupigania haki ya Tanganyika na Watanganyika, na kilichosimama imara dhidi ya mashetani ya CCM yanaoyodhulumu haki za wananchi kwenye kila nyanja.
 
Katika kuanzimisha miaka 33 ya Chama chetu…

Wilaya ya Nkasi kulipangwa kufanyika tukio la kupanda miti zaidi ha 1,500 katika ofisi zetu za chama na viwanja vya chama..

Cha ajabu polisi wa wilaya hiyo wakishirikiana na polisi kutoka Mkoa mzima wamevamia na kutumia mabavu kuwapiga kutawanya watu bila kuzingatia hata kinachofanyika..

Taarifa nilizo nazo ni kwamba wanakamata kila mtu anaonekana na nembo au alama ya chama chetu.

Sisi sio wahalifu, sisi ni taasisi ya umma. Hatutakubali kuzuiwa kufanya shughuli zetu ambazo ni halali.

Kutoka kwa JOHN HECHE
1769021404332.jpg
 
Back
Top Bottom