Imefika wakati serikali iangalie mishahara ya watumishi wa "Local government" maana hali zao za mishahara ni ngumu na mbovu sana

Msaidie aondoke...
Wabongo wengi akili zenu zimelala... kaa hivyohivyo usubiri kusaidiwa, utazeeka unalalamika na serikali huku wao wanakula maisha tu na watoto na wajukuu zao

Wakenya, waghana, wanigeria na wengineo wajanja afrika wanasaidiwa na nani?!

Mmekalia umbea, majungu na fitna tu. Kupanua akili hakuna! Mtaishia hivyohivyo kutaka kusaidiwa
 
Stupidly thought hapo jambo gn lead you to write stupidty... unajiona ushafanikiwa, wabongo bana dah...kumpa mtu ABCs unaona huwezi masikini wa akili tuna kazi kubwa!
 
Wa kulaumiwa na kulaaniwa ni Waziri wa mishahara, niliwahi kumsikia mtu akisema ukiwaboreshea mishahara wanaota jeuri na kujifanya wajuaji
 
Stupidly thought hapo jambo gn lead you to write stupidty... unajiona ushadanikiwa, wabongo bana dah...kumpa mtu ABCs unaona huwezi masikini wa akili tuna kazi kubwa!
Tena kubwa kwelikweli! 👍🏾
 


Mkuu, maisha ni fumbo kubwa sana.

Hata
- Mshahara wa TCRA sio sawa na BRELA (Zote ni Taasisi za Serikali)

- Mshahara wa EWURA sio sawa na RITA (Zote ni Taasisi za Serikali)

- Mshahara wa TIC sio sawa na TCU (Zote ni Taasisi za Serikali)

Na hata ukisema uhamie huko TCRA, EWURA, TIC huwezi kuwa sawa na mtu wa BOT.

Nahata ukihamia BOT hutakuwa sawa kiuchumi na MBUNGE

Chakufa kupitia kidogo unachopata jifunze kuwekeza, Pia fanya shughuli nyingine mbali mbali za kukuongezea kipato.. as they always says "mshahara siku zote hautoshi" also live beyond your means, learn to appreciate small things.. focus on your heath and family.. money is illusion don't get trapped.
 
Nchi hii imeshakuwa ya wajinga ndugu yangu, unachosema ni kweli lakini Nani Mwenye uchungu wa kurekebisha haya? Kila mtu anamlaumu Nyerere, yeye kaleta uhuru na nyinyi mnaofata jengeni uchumi rekebisheni Manisha ya watu. MTU katoka ulaya na masters unamlipa tgsd 710,000/- kweli? Ada aliyotumia itarudi kweli? mtu anaongoza Hadi anaondoka madarakani vitu vya kitoto kama hivi vinamshinda! Hebu nikufikirishe;
Wizara ya afya na elimu- watumishi wako tamisemi! Kwa nchi makini hizi Wizara zinatakuwa zisiwepo iwepo tamisemi, maana ndiyo inayowahudumia! Halafu wanasema serikali haina hela kumbe wameumba mawizara mengi ambayo hayapafomu! Nani anaweza kunieleza Kazi na productivity ya Wizara ya katiba?.
Nchi inajiendea tu Hakuna Mwenye uchungu.
 
Liverpool VPN ni mwalimu ila cha ajabu anatoa mifano ya kuhamia EWURA na taasisi zingine, sasa EWURA wanahitaji walimu?
1. Diploma in Finance
2. Bachelor of Science in Economics and Finance
3. Masters of Science in Finance and Investment.
4. Ilikuwa niwe PhD Candidate in International Economics, ila nilighairii

Kwa hii qualification Unadhani mimi ni mwalimu?

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Mwenyekiti WA Livapuli-TAMISEMI katika ubora wako😁
 
Ulianzia diploma kumbe
 
Kaka Liverpool VPN nakukumbusha kuhusu huu uzi!!
Nimeamua kuwa selective, kila nikipata fursa naambiwa unahamia halmashauri X, yaani natoka chooni naingia maliwatoni..!!!

Nilchoamua ni kukomaaa biashara zangu tu, ukifika muda nisepe mazima niwe full time interpreneur.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Ni jukumu la serikali kufanya mabadiliko. Kuliko kufanya kazi local government ni bora ujiajiri mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…