DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Ngoja nichukue mkopo nisepe maana huu ni usenge wa kisenge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabongo wengi akili zenu zimelala... kaa hivyohivyo usubiri kusaidiwa, utazeeka unalalamika na serikali huku wao wanakula maisha tu na watoto na wajukuu zaoMsaidie aondoke...
Stupidly thought hapo jambo gn lead you to write stupidty... unajiona ushafanikiwa, wabongo bana dah...kumpa mtu ABCs unaona huwezi masikini wa akili tuna kazi kubwa!Wabongo wengi akili zenu zimelala... kaa hivyohivyo usubiri kusaidiwa, utazeeka unalalamika na serikali huku wao wanakula maisha tu na watoto na wajukuu zao
Wakenya, waghana, wanigeria na wengineo wajanja afrika wanasaidiwa na nani?!
Mmekalia umbea, majungu na fitna tu. Kupanua akili hakuna! Mtaishia hivyohivyo kutaka kusaidiwa
Wa kulaumiwa na kulaaniwa ni Waziri wa mishahara, niliwahi kumsikia mtu akisema ukiwaboreshea mishahara wanaota jeuri na kujifanya wajuajiSalaam ndugu Wana JF,
Naambiwa "Mama" yetu Rais wetu huwa anasoma humu JF.
Kwa heshima na taadhima naomba asome na hii.
Twende kwenye hoja..
Leo hii Kuna jamaa yangu kutoka halmashauri ya jirani kapata uhamisho kutoka halmashuri yake kwenda chuo cha Mandela (Arusha) yaani kwa huo mshahara anaoendea mpaka nimeshangaa.
Huyu jamaa basic analipwa TGS D = 745k ukitoa makota inayoingia mfukoni ni 500k and something.
Ila sasa huko aendako atakuwa analipwa basic 1.8Mil.
Hili limenifanya nijiulize ""KWANINI HALMASHAURI WANALIPWA KIDOGO KULIKO WATU WOTE SERIKALINI?""
Sometimes naonaga kama kufanya Kazi serikalini ukiwa chini ya TAMISEMI kama ni "laana/Majanga" maana kwenye mshahara huku ni dah "Ashukuriwe Mungu"
Hivi jiulize...
Tax Officer TRA Kazi yake ni kukusanya kodi, ada na tozo na Afisa mapato Halmashauri kazi yake nae ni kukusanya kodi na ushuru. Mbona sasa huyu Tax Officer (accounts) analipwa zaidi ya Afisa mapato wa Halmashauri (accounts)?
Hawa wawili, wamesoma course moja, chuo kimoja, wakaajiriwa na serikali moja ila tu kwasababu ya huyu yupo taasisi na huyu yupo "Local government" basi huyu ana shavu zaidi ya huyu..!!
Why this, ikiwa wote wapo chini ya serikali moja?
Mishahara ya halmashauri inachekesha hasaa.
Ukiachana na afya ambao kidogo wao "alhamdulilahi ila"
1. Ukisoma diploma mshahara ni TGS C = 500k take home 400k
2. Ukisoma Bachelor ya miaka 3
TGS D = 700K take home 500k
3. Ukisoma Bachelor ya miaka mi4 ni TGS E = 900K take home 700k
(Mishahara hii nime approximate kwa kukaribisha zeros at the end)
Na kengine huku Halmashauri hizi masters na short course hazina hata maana ki-mshahara zaidi ya kwamba ni "Added advantage" ila sio ki-financial aspect HAKUNA LOLOTEE. Unakuta wewe una masters na mwenzio bachelor ila mshahara mnafanana.
Huwa nawaambia madogo ""Njoo halmashauri tafuta cheki namba halafu sepa huko kwenye mishahara minono"". Kwani nani asiyependa kufanya Kazi kwenye mshahara mkubwa?
Haiwezekani uliosoma nao wote mpo serikalini ila wao wana mishahara na maposho zaidi yako kisa wewe upo local government!
Kwa upande mwingine. Ukiangalia bungeni wanatupa sana lawama kwa Halmashauri huku wanasahau kuwa watumishi wao bungeni wana mishahara mikubwa kuliko wa halmashauri.
Yaani halmashauri inasemwa sana juu ya wizi ila HAKUNA MTU YEYOTE ANAYEONGEA KUHUSU UDOGO WA MISHAHARA YA HALMASHAURI.
Sijawahi hata siku moja kusikia taasisi yoyote nchini ikiongelea maslahi ya watumishi wa Halmashauri zaidi ya kuwalaumu.
KUHUSU POSHO.
Watu wanakwambia "Halmashauri wanajilipa posho sana"
Wanasahau kuwa, posho ni mapato ya ndani "own source" na kuna Halmashauri hayo mapato ya ndani HAKUNA.
Hivi halmashauri kama Ukerewe, Tanganyika, Momba, Mpimbwe, Ileje WANAJILIPA MAPOSHO kwa mapato gani?
Ikiwa tu makusanyo yao hat Bil 2 kwa mwaka hakuna (maana vyanzo vya kukusanyia hakuna).
Sasa Hawa hizo posho wanapata wapi?
MAMA HALI NI MBAYA.
Watumishi wa Halmashauri Wana hali mbaya. Achana na hizi Halmashauri za mjini, ila hizi Halmashauri za vijijni watu Wana hali mbaya na ""Asilimia 90 ya watumishi wanapigana na kuhangaika ili wahame"" maana hakuna anayekubali mshahara mdogo huku kwenye mkubwa panaonekana.
Imefika wakati hii mishahara ya Halmashauri iangaliwe. Inakuaje mtu mwenye bachelor yake ya uhasibu kaajiriwa tokea 2015 mpaka leo mshahara ni 745,000/= yaani ukitoa kodi kinachobaki ndio aendeshee maisha.
Walimu nao wanateseka.
Hizo TGTS C, D, E, F ukizisoma utadhani ni pesa nyingi.
Sasa ngoja uandikiwe ni kiasi gani UTABAKI KUSHANGAA.
Unakuta mwalimu kasoma na mwenzake Bach. Ed
Huyu kawa mwalimu wa sekondary huyu kaajiriwa assistant tutor.
Sasa ukitaka kuona ""maajabu cheki mishahara yao""
Tutor ana mshahara kuliko mwalimu. Bila kusahau Tutor anaposho za vipindi na vitu vyengine ila yeye mwalimu kwanini asiwe na posho za vipindi?
Kuna Watu wapo taasisi huko WANALIPWA mishahara mara tatu ya halmashauri.
Madereva katika fani nayoonea huruma ni walimu na madereva.
Kwani Kuna utofauti gani wa dereva wa BOT, Wizara na Halmashauri?
Hivi V8/gari si ileile na gia si zilezile na lami si ileile, KWANINI Dereva wa Halmashauri ana TGS B na wengine WANALIPWA mara mbili yake? Au magari yao wao yanapaa na ya halmashauri yanatembea kwenye lami?
HII SI AFYA KABISA.
Nina mengi ya kuongea NAOMBA NIISHIE HAPO.
Mama Niko chini ya miguu yako NAOMBA HILI LITAZAMWE.
Mishahara ya Halmashauri ni nomaaa Raisi wangu.
Asante.
#YNWA
Tena kubwa kwelikweli! 👍🏾Stupidly thought hapo jambo gn lead you to write stupidty... unajiona ushadanikiwa, wabongo bana dah...kumpa mtu ABCs unaona huwezi masikini wa akili tuna kazi kubwa!
Yaani halmashauri inasemwa sana juu ya wizi ila HAKUNA MTU YEYOTE ANAYEONGEA KUHUSU UDOGO WA MISHAHARA YA HALM kuna upigaji mwingi..!
Ndiyo maana huko Halmashaurini kuna upigaji mkubwa!Yaani halmashauri inasemwa sana juu ya wizi ila HAKUNA MTU YEYOTE ANAYEONGEA KUHUSU UDOGO WA MISHAHARA YA HALMASHAURI.
Salaam ndugu Wana JF,
Naambiwa "Mama" yetu Rais wetu huwa anasoma humu JF.
Kwa heshima na taadhima naomba asome na hii.
Twende kwenye hoja..
Leo hii Kuna jamaa yangu kutoka halmashauri ya jirani kapata uhamisho kutoka halmashuri yake kwenda chuo cha Mandela (Arusha) yaani kwa huo mshahara anaoendea mpaka nimeshangaa.
Huyu jamaa basic analipwa TGS D = 745k ukitoa makota inayoingia mfukoni ni 500k and something.
Ila sasa huko aendako atakuwa analipwa basic 1.8Mil.
Hili limenifanya nijiulize ""KWANINI HALMASHAURI WANALIPWA KIDOGO KULIKO WATU WOTE SERIKALINI?""
Sometimes naonaga kama kufanya Kazi serikalini ukiwa chini ya TAMISEMI kama ni "laana/Majanga" maana kwenye mshahara huku ni dah "Ashukuriwe Mungu"
Hivi jiulize...
Tax Officer TRA Kazi yake ni kukusanya kodi, ada na tozo na Afisa mapato Halmashauri kazi yake nae ni kukusanya kodi na ushuru. Mbona sasa huyu Tax Officer (accounts) analipwa zaidi ya Afisa mapato wa Halmashauri (accounts)?
Hawa wawili, wamesoma course moja, chuo kimoja, wakaajiriwa na serikali moja ila tu kwasababu ya huyu yupo taasisi na huyu yupo "Local government" basi huyu ana shavu zaidi ya huyu..!!
Why this, ikiwa wote wapo chini ya serikali moja?
Mishahara ya halmashauri inachekesha hasaa.
Ukiachana na afya ambao kidogo wao "alhamdulilahi ila"
1. Ukisoma diploma mshahara ni TGS C = 500k take home 400k
2. Ukisoma Bachelor ya miaka 3
TGS D = 700K take home 500k
3. Ukisoma Bachelor ya miaka mi4 ni TGS E = 900K take home 700k
(Mishahara hii nime approximate kwa kukaribisha zeros at the end)
Na kengine huku Halmashauri hizi masters na short course hazina hata maana ki-mshahara zaidi ya kwamba ni "Added advantage" ila sio ki-financial aspect HAKUNA LOLOTEE. Unakuta wewe una masters na mwenzio bachelor ila mshahara mnafanana.
Huwa nawaambia madogo ""Njoo halmashauri tafuta cheki namba halafu sepa huko kwenye mishahara minono"". Kwani nani asiyependa kufanya Kazi kwenye mshahara mkubwa?
Haiwezekani uliosoma nao wote mpo serikalini ila wao wana mishahara na maposho zaidi yako kisa wewe upo local government!
Kwa upande mwingine. Ukiangalia bungeni wanatupa sana lawama kwa Halmashauri huku wanasahau kuwa watumishi wao bungeni wana mishahara mikubwa kuliko wa halmashauri.
Yaani halmashauri inasemwa sana juu ya wizi ila HAKUNA MTU YEYOTE ANAYEONGEA KUHUSU UDOGO WA MISHAHARA YA HALMASHAURI.
Sijawahi hata siku moja kusikia taasisi yoyote nchini ikiongelea maslahi ya watumishi wa Halmashauri zaidi ya kuwalaumu.
KUHUSU POSHO.
Watu wanakwambia "Halmashauri wanajilipa posho sana"
Wanasahau kuwa, posho ni mapato ya ndani "own source" na kuna Halmashauri hayo mapato ya ndani HAKUNA.
Hivi halmashauri kama Ukerewe, Tanganyika, Momba, Mpimbwe, Ileje WANAJILIPA MAPOSHO kwa mapato gani?
Ikiwa tu makusanyo yao hat Bil 2 kwa mwaka hakuna (maana vyanzo vya kukusanyia hakuna).
Sasa Hawa hizo posho wanapata wapi?
MAMA HALI NI MBAYA.
Watumishi wa Halmashauri Wana hali mbaya. Achana na hizi Halmashauri za mjini, ila hizi Halmashauri za vijijni watu Wana hali mbaya na ""Asilimia 90 ya watumishi wanapigana na kuhangaika ili wahame"" maana hakuna anayekubali mshahara mdogo huku kwenye mkubwa panaonekana.
Imefika wakati hii mishahara ya Halmashauri iangaliwe. Inakuaje mtu mwenye bachelor yake ya uhasibu kaajiriwa tokea 2015 mpaka leo mshahara ni 745,000/= yaani ukitoa kodi kinachobaki ndio aendeshee maisha.
Walimu nao wanateseka.
Hizo TGTS C, D, E, F ukizisoma utadhani ni pesa nyingi.
Sasa ngoja uandikiwe ni kiasi gani UTABAKI KUSHANGAA.
Unakuta mwalimu kasoma na mwenzake Bach. Ed
Huyu kawa mwalimu wa sekondary huyu kaajiriwa assistant tutor.
Sasa ukitaka kuona ""maajabu cheki mishahara yao""
Tutor ana mshahara kuliko mwalimu. Bila kusahau Tutor anaposho za vipindi na vitu vyengine ila yeye mwalimu kwanini asiwe na posho za vipindi?
Kuna Watu wapo taasisi huko WANALIPWA mishahara mara tatu ya halmashauri.
Madereva katika fani nayoonea huruma ni walimu na madereva.
Kwani Kuna utofauti gani wa dereva wa BOT, Wizara na Halmashauri?
Hivi V8/gari si ileile na gia si zilezile na lami si ileile, KWANINI Dereva wa Halmashauri ana TGS B na wengine WANALIPWA mara mbili yake? Au magari yao wao yanapaa na ya halmashauri yanatembea kwenye lami?
HII SI AFYA KABISA.
Nina mengi ya kuongea NAOMBA NIISHIE HAPO.
Mama Niko chini ya miguu yako NAOMBA HILI LITAZAMWE.
Mishahara ya Halmashauri ni nomaaa Raisi wangu.
Asante.
#YNWA
Bora nimeuza magunia 25 ya mahindi ya wazazi ya chakula Cha wanafunziKwa serikali hii ya CCM kula rushwa ni ""Lazima""
#YNWA
Liverpool VPN ni mwalimu ila cha ajabu anatoa mifano ya kuhamia EWURA na taasisi zingine, sasa EWURA wanahitaji walimu?Kaka Liverpool VPN nakukumbusha kuhusu huu uzi!!
1. Diploma in FinanceLiverpool VPN ni mwalimu ila cha ajabu anatoa mifano ya kuhamia EWURA na taasisi zingine, sasa EWURA wanahitaji walimu?
Ulianzia diploma kumbe1. Diploma in Finance
2. Bachelor of Science in Finance and Investment
3. Masters of Science in Finance and Investment.
4. Ilikuwa niwe PhD Candidate in International Economics, ila nilighairii
Kwa hii qualification Unadhani mimi ni mwalimu?
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Nikiwa na Div 2 yangu ya PCB, nilikosa ada ya kusoma direct BEF nikaanzia na Diploma kama alivyotaka mfadhili.Ulianzia diploma kumbe
Nimeamua kuwa selective, kila nikipata fursa naambiwa unahamia halmashauri X, yaani natoka chooni naingia maliwatoni..!!!Kaka Liverpool VPN nakukumbusha kuhusu huu uzi!!