inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Nipo taboraUnaishi Dar Dar sehemu gani mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo taboraUnaishi Dar Dar sehemu gani mkuu?
Tangazo lilitoka la matengenezoAnachosema mleta mada ni kweli mikoa mingi kwa sasa umeme ukiwaka masaa 24 ni muujiza!
Niko safarini kanda ya ziwa huku ndo nimekuta balaa kabisa kuna sehemu umeme tangu ukatike jana asubuhi mpaka usiku waliwasha kuanzia saa tano usiku then asubuhi saa tatu wamekata tena mpaka muda huu usiku saa tatu hawajarudisha ina maana huku wanaofanya biashara au uzalishaji kwa kutegemea umeme ni mwendo wa majenereta kama huna unashinda umelala unakuna pumbu.!
Kanda ya Ziwa hali ni mbaya sana. Hakuna siku ambayo umeme haukatiki. Nipo kijijini, kuna umeme wa Kanisa Katoliki. Sasa ni wiki ya pili, sijawahi kuona umeme ukikatika hata siku moja.Anachosema mleta mada ni kweli mikoa mingi kwa sasa umeme ukiwaka masaa 24 ni muujiza!
Niko safarini kanda ya ziwa huku ndo nimekuta balaa kabisa kuna sehemu umeme tangu ukatike jana asubuhi mpaka usiku waliwasha kuanzia saa tano usiku then asubuhi saa tatu wamekata tena mpaka muda huu usiku saa tatu hawajarudisha ina maana huku wanaofanya biashara au uzalishaji kwa kutegemea umeme ni mwendo wa majenereta kama huna unashinda umelala unakuna pumbu.!
Lilitoka lini kiongozi?Tangazo lilitoka la matengenezo
Taarifa itasaidia niniUmeme upo,ukikosekana ni matengenezo tu,na huwa wanatoa taarifa
Raia wanamajibu ya hovyo🤣🤣🤣Kwani umeshajaribu kutafuta majenereta karibu na mtaa wako ukakosa😂😂🏃🏃
Kati ya vitu najuta ni kuzaliwa, Afrika[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nakubali blood
Kuishi Tanzania na Afrika kwa ujumla kuna fedhehesha sana.Nimetoka kuwaaambia Sasa Hivi Watoto wangu
Sisi huku kwetu tuna siku 3 hatujaona umeme tofauti na wa solar na ni mjini haswa manispaaNilikua Morogoro, wanakata asubuhi ya saa moja na kurudishwa saa 12 jioni. Wasipo kata mchana basi tegemea usiku kutakua Giza Toka saa moja hadi saa sita usiku. Hii ndo Tanzania ya CCM
Makamba kapata promotion baada ya kuharibu NishatiUki ishi kwenye Laana, ilo si jambo la kushangaza sana.
Uafrika hasa utanzania ni laana.
Acha kutuingiza kwenye laana!! kuwa Mtanzania sio laana!! Laana ni Hawa washenzi wa CCM!!Uki ishi kwenye Laana, ilo si jambo la kushangaza sana.
Uafrika hasa utanzania ni laana.
Kama huna exposure ya kwenda ughaibuni Huwezi kuelewa ninacho kwambia.Acha kutuingiza kwenye laana!! kuwa Mtanzania sio laana!! Laana ni Hawa washenzi wa CCM!!
Ni kweli ila kwa mabadiliko yaliyofanyika kuna uwezekano usikatikekatike tena. Bwawa la Nyerere nalo pia karibia linaanza kufanya kaziNilikua Morogoro, wanakata asubuhi ya saa moja na kurudishwa saa 12 jioni. Wasipo kata mchana basi tegemea usiku kutakua Giza Toka saa moja hadi saa sita usiku. Hii ndo Tanzania ya CCM
Kipindi cha Waziri Prof. Muhongo umeme ulikoma kabisa kukatika, baada ya kuwa ameingia madarakani.Ngoja tusubiri tuone mkuu
Hadi dar wanakata sana tuNilikua Morogoro, wanakata asubuhi ya saa moja na kurudishwa saa 12 jioni. Wasipo kata mchana basi tegemea usiku kutakua Giza Toka saa moja hadi saa sita usiku. Hii ndo Tanzania ya CCM
CCM mbele kwa mbeleee 🎶🎶🎶🎶!! Hata production ya bwawa ikianza nakwambia mamb itakua ileile! Utakuja nambia hapa!!Nilikua Morogoro, wanakata asubuhi ya saa moja na kurudishwa saa 12 jioni. Wasipo kata mchana basi tegemea usiku kutakua Giza Toka saa moja hadi saa sita usiku. Hii ndo Tanzania ya CCM