Imefikia hatua, wadada wanaheshimu na kuthamini i phone, kuliko wanavyoheshimu na kuthamini sehemu zao za Siri hii ni aibu

Mbona sasa ni simu za kawaida tu?
 
Ungekua wewe ndo mdada ungefanya kitu gani ili upate iphone 15 mkuu..

Maana kuna mda jaribu kuvaa viatu vya dada zetu then kaa chini sukuti (fikilia ) alafu jiuleze ndo wewe paaap ...

Unafanya nini..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…