Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
- Thread starter
- #41
Ukisema kuku maji wewe inasoud kike, kama unaringa na kujishaua kwa madaha, sema wewe kuku maji sio kuku maji wewe.🤣🤣🤣 kuku maji wewe
Ukisema kuku maji wewe inasoud kike, kama unaringa na kujishaua kwa madaha, sema wewe kuku maji sio kuku maji wewe.🤣🤣🤣 kuku maji wewe
Macho matatu kwa matatu bwashee. Mbona umepunguza jicho moja?Ulisema unashindwa kukaa single wengine tunawezaje!
Mpe macho matatu, ule macho mawili.
Bila D 3 huwezi kunielewa.
Kwako sitasema ,tuna bwashee humu ,japo nalewa ila heshima kwanza🤣🤣 labla ajitokeza kuku maji mwingine adandie mada yetu ndio nitajibu😅Weeeee kumbe!! Mwenzio kiswahili nilifeligi rafikiii 😁😁!
Maana yake nini?? Hebu nipe mwongozo nijue
Yuko wapi smart? Au mmeshatibuana hii weekend?Weeeee kumbe!! Mwenzio kiswahili nilifeligi rafikiii 😁😁!
Maana yake nini?? Hebu nipe mwongozo nijue
Santo sana kwa heshima rafiki 🙏🙏!Kwako sitasema ,tuna bwashee humu ,japo nalewa ila heshima kwanza🤣🤣 labla ajitokeza kuku maji mwingine adandie mada yetu ndio nitajibu😅
Na Smart Utaweza kutuelewa Sasa!!Yuko wapi smart? Au mmeshatibuana hii weekend?
Ama kweli mambo yenu tuwaachie wenyewe. Tatizo binadamu sisi wabishi sana.Na Smart Utaweza kutuelewa Sasa!!
Mambo yetu tuachie wenyewe!
Huyo nilishamwambia mimi ni mamba na yeye ni kuku maji , ila sili kuku maji natumia swala na viumbe wengine .
Mambo yenu tunawaachia mwenyewe ila mafisi hatuchezi mbali ,simba akiangusha mnofu ataona cha mtema kuni au kile kilimtoa kanga manyoya😅😅Na Smart Utaweza kutuelewa Sasa!!
Mambo yetu tuachie wenyewe!
😁😁😁😁😁😁!Mambo yenu tunawaachia mwenyewe ila mafisi hatuchezi mbali ,simba akiangusha mnofu ataona cha mtema kuni au kile kilimtoa kanga manyoya😅😅
Mhmmmm kwamba selfika sijakuona🤣🤣🤣 kawadanganye wanaosinzia😁😁😁😁😁😁!
Hekaheka siziwezi umri umenitupa mkono rafiki! Nauzee huu staki kabisa purukushani nimebaki kulea wajukuu nakula pension tu
Umeniudhi kugombana na E kwa pamoja nilivokuwa nawakubali mimi dahhMambo yenu tunawaachia mwenyewe ila mafisi hatuchezi mbali ,simba akiangusha mnofu ataona cha mtema kuni au kile kilimtoa kanga manyoya😅😅
Hahahah hakuna cha kike hapa bwashee cha muhimu hapa ni simba mla nyama au simba mla watuUkisema kuku maji wewe inasoud kike, kama unaringa na kujishaua kwa madaha, sema wewe kuku maji sio kuku maji wewe.
E sijagombana nae na ni rafiki yangu mpka siku naingia kaburi ,na kila siku tunasalimiana hata kama huto niona humuUmeniudhi kugombana na E kwa pamoja nilivokuwa nawakubali mimi dahh
Huko nimepigwa loki ya lifeeee aseeee!!Mhmmmm kwamba selfika sijakuona🤣🤣🤣 kawadanganye wanaosinzia
😀😄Hiyo papuchi wanawapa kampuni ya i phone au ninyi ndo wateja wao?
That's great..E sijagombana nae na ni rafiki yangu mpka siku naingia kaburi ,na kila siku tunasalimiana hata kama huto niona humu