Hiyo papuchi wanawapa kampuni ya i phone au ninyi ndo wateja wao?Wadada wa Leo wapo tayari kugawa uchi kwa yoyote kwa wakati wowote ila sio kugawa I phone kwa yoyote..
Wengi sana wanalika ili kududunduliza kununua I phone 15 hii ni aibu
Acheni, ni mbaya
KUKU maji jau😂Huyu kuku maji anazingua sana na hilo liujumbe lake , nillkiliona pombe inazidi kichwani
Kawaida tuKUKU maji jau😂
Una lipi la kumshauri kuku maji na unajisikiaje kuwasiliana na kuku maji?Kawaida tu
Nipo hapa nakula pombe mpaka mda wa game nitarudi humu kupata update, ngoja tuone ila simba anabeba kombe na nyie mtacheza tu na utabiri wangu mtabeba kombe
Subutuuu!Nipo hapa nakula pombe mpaka mda wa game nitarudi humu kupata update, ngoja tuone ila simba anabeba kombe na nyie mtacheza tu na utabiri wangu mtabeba kombe
Nyie kuku maji ndio mnatakiwa mjisikie , mimi mamba blazaa ngozi ngumu kama hii nijisikie ili iweje bwashee 🤔Una lipi la kumshauri kuku maji na unajisikiaje kuwasiliana na kuku maji?
😆Acha waliwe
Unataka tufe na nyege.e
Kwaiyo kwenye ngozi hujisikii mpaka ipenye😂😂Nyie kuku maji ndio mnatakiwa mjisikie , mimi mamba blazaa ngozi ngumu kama hii nijisikie ili iweje bwashee 🤔
Simba asipo fuga goli leo naipasua ile kololi moja na nyundo ,ambayo inasemekana tunazo mbili🤔Subutuuu!
Akibeba nimekaa paleeee...
Hurrayyy Berkane 🧡🧡🧡💪💪💪💪🕺🕺
Ukiwa unaipasua Shahidi nipo hapaaa walai🙇🙇Simba asipo fuga goli leo naipasua ile kololi moja na nyundo ,ambayo inasemekana tunazo mbili🤔
Mpaka nipenyeze lile jino la mamba juu ya mgongo wa kuku maji anaejifanya kuruka ruka ila mwisho wa siku anatua majini😅Kwaiyo kwenye ngozi hujisikii mpaka ipenye😂😂
Nje ndani ni matusi tafadhali madam mzuri , tumia neno jingine 🤣🤣Shahidi nipo hapaaa walai🙇🙇
Mtapigwa nje ndani nawaambiaa
Hahaha 🤣 sawa bana unaweza kutumia LughaMpaka nipenyeze lile jino la mamba juu ya mgongo wa kuku maji anaejifanya kuruka ruka ila mwisho wa siku anatua majini😅
Weeeee kumbe!! Mwenzio kiswahili nilifeligi rafikiii 😁😁!Nje ndani ni matusi tafadhali madam mzuri , tumia neno jingine 🤣🤣
🤣🤣🤣 kuku maji weweHahaha 🤣 sawa bana unaweza kutumia Lugha
UNATAKA muongozo au unataka nje ndani??Weeeee kumbe!! Mwenzio kiswahili nilifeligi rafikiii 😁😁!
Maana yake nini?? Hebu nipe mwongozo nijue