Imefikia hatua, wadada wanaheshimu na kuthamini i phone, kuliko wanavyoheshimu na kuthamini sehemu zao za Siri hii ni aibu

Weeeee kumbe!! Mwenzio kiswahili nilifeligi rafikiii 😁😁!

Maana yake nini?? Hebu nipe mwongozo nijue
Kwako sitasema ,tuna bwashee humu ,japo nalewa ila heshima kwanza🤣🤣 labla ajitokeza kuku maji mwingine adandie mada yetu ndio nitajibu😅
 
Kwako sitasema ,tuna bwashee humu ,japo nalewa ila heshima kwanza🤣🤣 labla ajitokeza kuku maji mwingine adandie mada yetu ndio nitajibu😅
Santo sana kwa heshima rafiki 🙏🙏!
 
Siku hizi msichana akipewa iPhone mpya…
Anaweka password ya tarakimu 6.
Lakini heshima yake?
Hakuna hata pattern lock!
 
Na Smart Utaweza kutuelewa Sasa!!

Mambo yetu tuachie wenyewe!
Mambo yenu tunawaachia mwenyewe ila mafisi hatuchezi mbali ,simba akiangusha mnofu ataona cha mtema kuni au kile kilimtoa kanga manyoya😅😅
 
Mambo yenu tunawaachia mwenyewe ila mafisi hatuchezi mbali ,simba akiangusha mnofu ataona cha mtema kuni au kile kilimtoa kanga manyoya😅😅
😁😁😁😁😁😁!
Hekaheka siziwezi umri umenitupa mkono rafiki! Nauzee huu staki kabisa purukushani nimebaki kulea wajukuu nakula pension tu

E katulia sana wewe tu
 
😁😁😁😁😁😁!
Hekaheka siziwezi umri umenitupa mkono rafiki! Nauzee huu staki kabisa purukushani nimebaki kulea wajukuu nakula pension tu
Mhmmmm kwamba selfika sijakuona🤣🤣🤣 kawadanganye wanaosinzia
 
Mambo yenu tunawaachia mwenyewe ila mafisi hatuchezi mbali ,simba akiangusha mnofu ataona cha mtema kuni au kile kilimtoa kanga manyoya😅😅
Umeniudhi kugombana na E kwa pamoja nilivokuwa nawakubali mimi dahh
 
Ukisema kuku maji wewe inasoud kike, kama unaringa na kujishaua kwa madaha, sema wewe kuku maji sio kuku maji wewe.
Hahahah hakuna cha kike hapa bwashee cha muhimu hapa ni simba mla nyama au simba mla watu
 
Umeniudhi kugombana na E kwa pamoja nilivokuwa nawakubali mimi dahh
E sijagombana nae na ni rafiki yangu mpka siku naingia kaburi ,na kila siku tunasalimiana hata kama huto niona humu
 
Mhmmmm kwamba selfika sijakuona🤣🤣🤣 kawadanganye wanaosinzia
Huko nimepigwa loki ya lifeeee aseeee!!

Don't underestimate the power of filter rafiki camera zinatubeba sana hakuna uhalisia hata chembe
 
Nishasema mara nyingi tu kwamba bora wauze kuliko kutoa bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…