Imefikia hatua, wadada wanaheshimu na kuthamini i phone, kuliko wanavyoheshimu na kuthamini sehemu zao za Siri hii ni aibu

Kuna mshkaji angu anauza simu alinionesha txt ya demu fulani ni aibu.

Dem namjua, ni pisi zile ukiitazama mara moja lazima urudie.

Dem kamwandikia mchizi text, eti ampe simu yake, halafu wafanye mapenzi siku 3 mfululizo ili apewe I phone
 
Huko nimepigwa loki ya lifeeee aseeee!!

Don't underestimate the power of filter rafiki camera zinatubeba sana hakuna uhalisia hata chembe
Mhmm kumbe na mimi nilipige Block ya maisha , sasa idadi ya marafiki zangu huko karibu yote imepigwa block 🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…