Imefikia muda hii nchi pale ambapo Mtu Tajiri anafanya matumizi yake ya kila siku,Masikini wanadhani anafanya anasa. Tafuteni pesai!

UMUGHAKA

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2021
Posts
2,753
Reaction score
12,932
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!.

Hii nchi inavituko sana kila uchwao,naomba nirudie tena hii kauli, ya kwamba "Unapotaka kuolewa au kuoa hakikisha unaoa au kuolewa na mtu mwenye akili timamu, usipofanya hivyo matokeo yake mnaibebesha nchi watu wapumbavu ingawaje shule wamekwenda"

Yaani eti leo kijana wa kitanzania anamshangaa kijana mwenzie kutumia laki moja hadi tano kwa siku,hivi mko serious kweli au mnatania?,mimi pamoja na umasikini wangu wote siwezi kushangazwa na matumizi ya mtu kwasababu hizo pesa zake wakati anazitafuta sikuwepo sasa azitumie nishangae nini?

Kama wewe kwa siku nyumbani kwako huwa unaacha elfu 5 au 10 wakati unakwenda kazini usidhani yule anayeacha laki moja kila siku nyumbani kwake eti ni muharibifu, la hayo ndiyo maisha yake, huo umasikini wako ndiyo unafanya uone ni hela kubwa.

Vijana pambaneni mtafute pesa acheni kushangaa shangaa ovyo muonapo watu wanatumia pesa zao,yaani mtu atumie pesa zake kufanya matumizi yake ya kila siku halafu wewe uone ni anasa au anaharibu pesa!?

Usipopambana kuzitafuta pesa utaishia kuwaita watu wenye pesa zao "Mafisadi, Mara ooooh za kurithishwa, mara ooooh jamaa alipewa mchongo, mara ooooh jamaa anajisikia, mara ooooh jamaa atakufa na Ukimwi, mara oooh jama pombe zitamuua, mara ooooh blah blah"

vijana tafuteni pesa acheni na soga za vijiweni.

Dunia ya leo bila pesa si tu kudharaulika bali utakosa thamani mbele ya marafiki,ndugu na hata huko makanisani na misikitini.

WITO:
FANYA IBADA SANA KAMA VILE UNAKUFA LEO NA TAFUTA PESA SANA KAMA HAKUNA KIFO.
 
Mara ooooh firimason
Mara ooooh chuma ulete
Mara ooooh

Kuna watu wamejaliwa Midomo NAKAZIA !

Puuzia maneno ya watu alafu fanya unachopenda , wataongea wakichoka watanyamaza
 
Wakuu, kwa wale mnaosema tatizo ni sisiem, kwani sisiem inazuia vipi wewe kupata hela?? Je wote wanaopata hela ni wanasiaiem?? Sugu ni sisiem?.

N.B : Ukiweka sisiem na Andazi nitachagua andazi
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!.

Hii nchi inavituko sana kila uchwao,naomba nirudie tena hii kauli, ya kwamba "Unapotaka kueolewa au kuoa hakikisha unaoa au kuoelewa na mtu mwenye akili timamu, usipofanya hivyo matokeo yake mnaibebesha nchi watu wapumbavu ingawaje shule wamekwenda"

Yaani eti leo kijana wa kitanzania anamshangaa kijana mwenzie kutumia laki moja hadi tano kwa siku,hivi mko serious kweli au mnatania?,mimi pamoja na umasikini wangu wote siwezi kushangazwa na matumizi ya mtu kwasababu hizo pesa zake wakati anazitafuta sikuwepo sasa azitumie nishangae nini?

Kama wewe kwa siku nyumbani kwako huwa unaacha elfu 5 au 10 wakati unakwenda kazini usidhani yule anayeacha laki moja kila siku nyumbani kwake eti ni muharibifu, la hayo ndiyo maisha yake, huo umasikini wako ndiyo unafanya uone ni hela kubwa.

Vijana pambaneni mtafute pesa acheni kushangaa shangaa ovyo muonapo watu wanatumia pesa zao,yaani mtu atumie pesa zake kufanya matumizi yake ya kila siku halafu wewe uone ni anasa au anaharibu pesa!?

Usipopambana kuzitafuta pesa utaishia kuwaita watu wenye pesa zao "Mafisadi, Mara ooooh za kurithishwa, mara ooooh jamaa alipewa mchongo, mara ooooh jamaa anajisikia, mara ooooh jamaa atakufa na Ukimwi, mara oooh jama pombe zitamuua, mara ooooh blah blah"

vijana tafuteni pesa acheni na soga za vijiweni.

Dunia ya leo bila pesa si tu kudharaulika bali utakosa thamani mbele ya marafiki,ndugu na hata huko makanisani na misikitini.

WITO:
FANYA IBADA SANA KAMA VILE UNAKUFA LEO NA TAFUTA PESA SANA KAMA HAKUNA KIFO.
Hapa umenena, hawa watu naonaga makasrko yao wanayashushia kwa wale wanaoona wanajiachia.
 
Back
Top Bottom