Imekaaje Bill Gates alivyofukuzwa Microsoft, kampuni aliyoianzisha mwenyewe?

Imekaaje Bill Gates alivyofukuzwa Microsoft, kampuni aliyoianzisha mwenyewe?

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Inakuwaje wanaJF!

Ni miezi michache mwaka huu tu ilikuja kugundulika kumbe Bill Gates alilazimishwa kujiuzulu kwenye board ya Microsoft na kujikita zaidi katika faundesheni yake na aliyekuwa mke wake Melinda.

Sababu zenyewe za kumlazisha a jiuzulu ni nyepesi sana halafu za kipuuzi kwa mtazamo wangu eti alikuwa na utovu wa niamu kwa kuwatongoza, kuwanunulia zawadi na kutembea na wafanyakazi wa kike Microsoft na faundesheni yake. Sasa najiuliza aliwabaka? Jibu Hapana ni makubaliano tu.

Microsoft alianzisha yeye hadi ikafika ilipofika sasa hivi na sasa hivi ndio kampuni yenye thamani duniani imeipita hata Apple baada ya hisa za Epo kushuka. Halafu eti board inakaa chini inamlazimisha a jiuzulu kwenye kampuni yake aliyoianzisha mwenyewe. Hii kitu kweli ingeweza kutokea kwa Mengi? Au sasa hivi kwa Bakheresa ama MO?

Yani u amtongoze mtu mzima a akubali mnakubaliana huo ni utovu wa nidhamu kweli hadi unaachia ngazi kizembe kwenye kampuni uliyoanzisha, kufight hadi ilipo sasa hivi.

Wanadai angeshatimuliwa toka early 2002 sema kwa aliyekuwa mwenyekiti kiti wa board wakati huo John W Thompson alimkingia kifua nakutliza na kuwashawishi wana board wengine wapotezee na iwe siri 'due to the sensitivity of the matter'. Yani unakingiwa kifua kwenye kampuni yako? JW Thompson picha chini.
49322109-10103763-Bill_Gates_affair_in_2002_with_a_female_subordinate_came_to_ligh-a-18_163460...jpg


 
Ndo maana alikuwa anakuja Afrika kujichanganya na wala la hoi kupotezea mambo ya kipuuzi
 
Kuna wanahisa pale ambao wanajali pesa waliyowekeza, scandal yoyote kwake inawezesha kushusha thamani ya hisa hivyo ilikuwa ni lazima wamweke pembeni.
 
Hii inaweza I katokea Africa kwa mtu kama Bakheresa, Dankote au MO?
Hakuna wa kuwafanya hicho kitu, sababu sio Public Co's hizo wanazomiliki.

Ila Wakipeleka Co. Zao Public wakizingua wanapigwa chini Kama kawa tu, kwa mfano Jeff Bezo as individual ndio mwenye shares nyingi pale Amazon 11%,then wanafuatia wengine. Lakini Hawa shereholders wengine wakijoin pa1 nguvu zao wanaweza ku vote
maana wanakua Ni majority shareholders (>51% of shares).

Dawa ya hii Ni mtu apeleke Co. Public Halafu akomae kuwa ni majority s/holder,halafu wengine woote wabakie na 49% wazigombanie(minority shareholders).Hapo hakuna wa kukufanya kitu
 
Ingekuwa ni mimi, mtoa wazo wa kwanza ndie ningemtimua wa kwanza iwe fundisho nani boss mjengoni.
Nani boss mjengoni au siyo?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Umenifurahisha sana, ila biashara haipo hivyo mkuu.

Wakati mwingine inabidi tufanye kama tunakupoteza wewe boss kwa sababu fulani fulani ili biashara iendelee "mjengoni" siyo kwa nia mbaya [emoji23]
 
Hii inaweza I katokea Africa kwa mtu kama Bakheresa, Dankote au MO?
Ni ngumu kwasababu utakuta kampuni kama ya azam au mo wanaimiliki 100% wakati hizo microsoft na apple zilishaenda public na watu wakanunua hisa. Mfano microsoft ilienda public back 1985
 
Kwa hiyo Ile talaka ni haki yake kabisa. Huyo Melinda alimvumilia Sana. Kajipati Ka ubilionea kake huko amepumzika manyanyaso.
 
Back
Top Bottom