Mr.panya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 248
- 278
Dah kweli mswahili mswahili tu [emoji3]Ingekuwa ni mimi, mtoa wazo wa kwanza ndie ningemtimua wa kwanza iwe fundisho nani boss mjengoni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah kweli mswahili mswahili tu [emoji3]Ingekuwa ni mimi, mtoa wazo wa kwanza ndie ningemtimua wa kwanza iwe fundisho nani boss mjengoni.
Hata hajui amecoment nini yeye kacoment tu...Dah kweli mswahili mswahili tu [emoji3]
hata kama alianzisha yeye, jua kuna wawekezaji wengine wengi mno kwa njia ya hisa, kwahiyo hapo haangaliwi yeye peke yake, akifanya mambo ya kijinga kwa wenzetu huko hisa zikashuka bei, hasara na maumivu yatakuwa kwa shareholders wengi. kuanzisha yeye sio kumiliki kampuni yote, yeye anamiliki fungu fulani tu kwasababu alisharuhusu watu wengien waje waweke mafungu ya umiliki humo. kwahiyo usimwangalie yeye tu, angalia na wengine humo ndani.Inakuwaje wanaJF!
Ni miezi michache mwaka huu tu ilikuja kugundulika kumbe Bill Gates alilazimishwa kujiuzulu kwenye board ya Microsoft na kujikita zaidi katika faundesheni yake na aliyekuwa mke wake Melinda.
Sababu zenyewe za kumlazisha a jiuzulu ni nyepesi sana halafu za kipuuzi kwa mtazamo wangu eti alikuwa na utovu wa niamu kwa kuwatongoza, kuwanunulia zawadi na kutembea na wafanyakazi wa kike Microsoft na faundesheni yake. Sasa najiuliza aliwabaka? Jibu Hapana ni makubaliano tu.
Microsoft alianzisha yeye hadi ikafika ilipofika sasa hivi na sasa hivi ndio kampuni yenye thamani duniani imeipita hata Apple baada ya hisa za Epo kushuka. Halafu eti board inakaa chini inamlazimisha a jiuzulu kwenye kampuni yake aliyoianzisha mwenyewe. Hii kitu kweli ingeweza kutokea kwa Mengi? Au sasa hivi kwa Bakheresa ama MO?
Yani u amtongoze mtu mzima a akubali mnakubaliana huo ni utovu wa nidhamu kweli hadi unaachia ngazi kizembe kwenye kampuni uliyoanzisha, kufight hadi ilipo sasa hivi.
Wanadai angeshatimuliwa toka early 2002 sema kwa aliyekuwa mwenyekiti kiti wa board wakati huo John W Thompson alimkingia kifua nakutliza na kuwashawishi wana board wengine wapotezee na iwe siri 'due to the sensitivity of the matter'. Yani unakingiwa kifua kwenye kampuni yako? JW Thompson picha chini.
View attachment 2002379
![]()
Bill Gates resigned from Microsoft board in 2020 after 'affair'
Bill Gates had an affair with a Microsoft employee beginning in 2000, which was the subject of an independent investigation in 2019. Gates resigned suddenly from the board in March 2020.www.dailymail.co.uk
Kwani hizo kampuni ni public listed?Hii inaweza kutokea Afrika kwa mtu kama Bakheresa, Dangote au MO?