Imekaaje Bill Gates alivyofukuzwa Microsoft, kampuni aliyoianzisha mwenyewe?

hata kama alianzisha yeye, jua kuna wawekezaji wengine wengi mno kwa njia ya hisa, kwahiyo hapo haangaliwi yeye peke yake, akifanya mambo ya kijinga kwa wenzetu huko hisa zikashuka bei, hasara na maumivu yatakuwa kwa shareholders wengi. kuanzisha yeye sio kumiliki kampuni yote, yeye anamiliki fungu fulani tu kwasababu alisharuhusu watu wengien waje waweke mafungu ya umiliki humo. kwahiyo usimwangalie yeye tu, angalia na wengine humo ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…