Sawa!!
Hapa kuna walakini....Mpaka anakusogelea wewe ulikuwa unamchekea tuu....Mpaka ukamkaribisha geto kwako....Ipo shida pia kwako..
Hivi kweli mwanaume mwenzako mpaka anafikia hatua hii wewe upo tuu ..Inamaana na wewe ulikuwa unafurahia....Wote nyie ni wamoja..
Inamaana huwa mnatabia ya kupigiana simu na kuongea...Mpaka anafikia hatua ya kukulainishia sauti maana yake ulikuwa unafurahia...
Msaada ni kwamba endeleeni na tabia zenu...Na tabia ya kimgeuka mwenzako na kuja kumtangaza huku jf ukome..nyie wote ni kampuni moja...