amygdala
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 1,082
- 997
hahahaa natania tu mkuu...maada yako imeeleweka[emoji15]Anitafune mimi[emoji15]
Hii vita akijaribu kuitangaza itammaliza mwenyewe[emoji779]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaa natania tu mkuu...maada yako imeeleweka[emoji15]Anitafune mimi[emoji15]
Hii vita akijaribu kuitangaza itammaliza mwenyewe[emoji779]
mkuu usjiemanishe sana kuwa jamaa ni chakula maana inawezekana yeye ndo anataka kukutafuna
Usichukulie mambo kiwepesi bosi, huu utamaduni wa mwanaume kumwambia mwanaume mwenzake "nakupenda sana, tumetoka mbali" tena kwa kulegeza sauti tofauti na tuliyokua tukiongea mwanzo... Hatujauzoea kabisa. Tena alianza mchezo wa kunishika mara bega, mgongo au mguu tukiwa tumekaa.
UchokoHabarini ndugu zangu.
Hivi karibuni nimepata wakati mgumu sana baada ya kupata rafiki (mwanaume mwenzangu) ambae aliniomba nimsaidie jambo flani na urafiki ukaanzia hapo.
Huyu jamaa alianza mazoea ya kunitembelea geto na akawa anapenda kunisogelea karibu sana hata tukiwa tumekaa pamoja, alianza tabia ya kunisogezea mikono ila alipoona nakereka akaacha mwenyewe.
Kinachonipa hofu ni tabia yake ya mara kwa mara kuniambia ananipenda kila anaponipigia simu tena kwa sauti laini sana wakati wa kuhitimisha mazungumzo.
Hii inakua vipi wadau?
Msaada wa mawazo tfdhl.