Imekaaje mwanaume kumwambia dume mwenzie "nakupenda"?

Muepuke aisee, kufanya mapenzi na mwanaume mwenzako ni raana aisee..muonye wazi kuwa wewe huwezi kuwa mpenzi wake. Ukichekacheka basi utarudi hapa njamvini kutueleza " nina mpenzi wa kiume nawezaje kumuacha"
 
Huyu jamaa ndo mpiga simu, huwa simpigii hata kidogo baada ya kuona mwenendo wake sio.

Unajua mtu anaweza kukuomba umfunfishe au kumuelekeza jambo kwny simu yake, akikusogelea close utamkata kofi au?

Umetumia kigezo gani kuhukumu?
 
Sura ngumu kama zembwela, mwili wa zoezi. Cna swaga.

Nahisi anataka nimbandue maana ndo ananilainishia sauti.
 
Sio kila kitu lazima uweke humu ushauliwe
we kusoma huwezi hata picha pia uoni
 
Ukakasi ni mwingi ...
Eti umkaribishe geto, akushike , muongee kwenye simu .....dume gani rijali atafikia hatua zote hizo..?

Hawa wote ni ksmpuni moja
Kama ana tatizo nimkaribishe kituo cha daladala?
 
Nikushauri tu huyo mblock kabisa asikupigie cm ukiendekeza hayo mazoea atakutia aibu mbeleni

Nikweli kabisa maana kile kitendo cha kua nae karibu ktk jamii kinatafsili mbili

1. Wewe ni basha wake

2. Wewe na yeye wote lenu moja. kikwetu tunasema ( nimpondo imwi )
 
Umetumia kigezo gani kuhukumu?

Maelezo yako na mada kwa ujumla..

Angalia hiki ulichoandika...
Tena alianza mchezo wa kunishika mara bega, mgongo au mguu tukiwatumekaa.

Yani inaonesha huwa nnamzoea sana na mnakaa pamoja...Anaanza kukushika bega, anashuka mgongoni, anateremka mpaka kwenye goti...Kweli !!! Na wewe umekaaa ..unajua haingii akilini..

Unless umeleta hii mada ili tui ufurahishe jukwaa ..ila kama ni kweli wewe na yeye kampuni moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…