Imekaaje mwanaume kumwambia dume mwenzie "nakupenda"?

Acha kumbania mwenzio,kila kitu kinapangwa huenda ndiyo riziki yako huyo
 

Haaa! Kama anakushika mpaka Mgongo ,bega mara miguu moja kwa Moja anataka kukupelekea Propela shafti, angekuwa na Swaga za kichoko ingekuwa za kidem dem Mara kakushika Ndevu huyo Muhuni utakuja stuka Nyoka kishatumbukia Shimoni [emoji3][emoji3]
 
hahahhahahahahahaah sarakasi zikaendelea etiiii ?🙄🙄
 
Inategemea na nini kinajiri au kimejiri kama hao sio ndugu. Kumbuka kuna wanaopitia kitu na ni mwanaume mwenzake ndio anamkomboa so nikisikia maneno hayo nitaona sawa tu ya kusema kwa ajili ya upendo na shukurani.

Mwanaume kumwambia sibling wake wa kiume ni sawa au Baba yake.
 
Uchoko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…