Imekuwa mapema sana hayati John Magufuli kukumbukwa tofauti na Lumumba, Thomas Sankara na akina Nkrumah

Imekuwa mapema sana hayati John Magufuli kukumbukwa tofauti na Lumumba, Thomas Sankara na akina Nkrumah

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Kiongozi mzalendo ni mzalendo tu. Lazima mema yake kwa taifa lake ya outweigh mabaya yake.

Leo hii hata miaka mitattu haijakatika kila mtu anakumbuka na ina bakia story tu kuwa angekuwepo hii nonsensical deal or contract isingefanyika.

Huko Congo Drc leo wanatamani kupata Lumumba mwingine. Huko Bukinabe wanajuta kumuua Thomas Sankara
 
Ni upuuzi kushuhudia Bandari zote bara zinauzwa peupe Badala ya Kutoka kupinga, Eti tuanze kulia kumkumbuka Magu aliyelala!!!!!

Mimi sitakubali ujuha huo,

Sa100 hatoshi kutuongoza,

Sa100 ATUPISHE na Bunge livunjwe,

Sa100 must go!!!!
 
Must go where??

Hatoki mtu hapa mpka kieleweke.
 
Kiongozi mzalendo ni mzalendo tu. Lazima mema yake kwa taifa lake ya outweigh mabaya yake.

Leo hii hata miaka mitattu haijakatika kila mtu anakumbuka na ina bakia story tu kuwa angekuwepo hii nonsensical deal or contract isingefanyika.

Huko Congo Drc leo wanatamani kupata Lumumba mwingine. Huko Bukinabe wanajuta kumuua Thomas Sankara
Magufuli ndiye chanzo cha haya yoote
 
unaweza ukampinga Magufuli na bado pia ukapinga uporaji wa Bandari za Azania

unaweza ukawa huikubali Chadema lakini ukaungana nao kupinga dhulma hii

unaweza ukawa CCM na bado ukapinga wizi huu
 
Mfananishe na Mobutu Sese Seko aliyejenga kiwanja cha Ndege ghali kabisa Msituni Gbadolitee na hiyu wa Chato.
 
Huku watoto wao wakiendelea kusogezwa pembeni ya mzinga walambe asali[emoji24][emoji848]
FB_IMG_1686206790040.jpg
 
a Ni upuuzi kushuhudia Bandari zote bara zinauzwa peupe Badala ya Kutoka kupinga, Eti tuanze kulia kumkumbuka Magu aliyelala!!!!!

Mimi sitakubali ujuha huo,

Sa100 hatoshi kutuongoza,

Sa100 ATUPISHE na Bunge livunjwe,

Sa100 must go!!!!
Unamtoa kwa kukaa Nyuma ya kibodi??
 
Unamtoa kwa kukaa Nyuma ya kibodi??
Kazi yetu ni kusema tu yanatokea,

Hata like jaribio la kuondoa UKOMO, tulisema na likazuiliwa.

Hujawahi ona kijeba jizi Sugu likisikia mtoto mdogo akisema mwiziiii, linakimbia?

Umesahau uhuru wa Nchi hii tuliupata Kwa kusema tu?

Hujui kuwa kabla ya kumpiga Idd Amini, tulimlaani kwanza Kwa mdomo kabla ya kumpiga?

Tukisema, Kuna vitu vingi vinatokea usoweza kuviona wewe.

Sa100 must go!!!!!
 
Back
Top Bottom