Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Must go where??Ni upuuzi kushuhudia Bandari zote bara zinauzwa peupe Badala ya Kutoka kupinga, Eti tuanze kulia kumkumbuka Magu aliyelala!!!!!
Mimi sitakubali ujuha huo,
Sa100 hatoshi kutuongoza,
Sa100 ATUPISHE na Bunge livunjwe,
Sa100 must go!!!!
Magufuli ndiye chanzo cha haya yooteKiongozi mzalendo ni mzalendo tu. Lazima mema yake kwa taifa lake ya outweigh mabaya yake.
Leo hii hata miaka mitattu haijakatika kila mtu anakumbuka na ina bakia story tu kuwa angekuwepo hii nonsensical deal or contract isingefanyika.
Huko Congo Drc leo wanatamani kupata Lumumba mwingine. Huko Bukinabe wanajuta kumuua Thomas Sankara
Nonsense.Magufuli ndiye chanzo cha haya yoote
Unamtoa kwa kukaa Nyuma ya kibodi??a Ni upuuzi kushuhudia Bandari zote bara zinauzwa peupe Badala ya Kutoka kupinga, Eti tuanze kulia kumkumbuka Magu aliyelala!!!!!
Mimi sitakubali ujuha huo,
Sa100 hatoshi kutuongoza,
Sa100 ATUPISHE na Bunge livunjwe,
Sa100 must go!!!!
Kazi yetu ni kusema tu yanatokea,Unamtoa kwa kukaa Nyuma ya kibodi??
Daaah nchi yangu Tanzania imefikia pabaya 😭😭😭