Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kwa nini Barbershop/saluni za sasa mjini wahudumu wanakutazama vibaya sana ukiwaambia hauoshi kichwa au kufanya scrub baada ya kunyoa?
Baadhi ya vinyozi kwenye hizi barbershop wakimaliza kukunyoa wanakutelekezea kabisa wadada waoshaji bila hata kukuuliza kama unaosha au hauoshi unapaka tu after shave na kutembea!