Imekuwa ni lazima kuosha na kufanya scrub baada ya kunyoa barbershop?

Ni sawa mkuu, lakini wasifanye hiyo biashara ni lazima kwa kila mtu.
Mkuu Kuna sehemu lazima uwe mbabe kidogo Ili kurinda uanaume wako.

Nilienda kunyoa baada kumaliza wakaniambia hamia pale.akili ikaniambia hapa Kuna Hela utaacha.

Nikahamia alipo sema mara mdada huyu hapa akaaza kusema uso wako unamafuta naweza kukufanyia..... Nikamwambia ni wewe tu akakomaaa wee alipomaliza akaniambia vipi kuhusu kupa black nikamwambia hiyo hapana. Bahati nzuri Hela ilikuwa ya chenji nikaenda Kwa kinyozi nikampa 3000 yake halafu akauliza kule mmeshamalizana?

Nikamjibu wapi Tena boss? Akamuita yule dada akasema aache 2000 ya kwangu nikamwambia mlinambia wapi? Mimi nimeuliza mkasema kunyoa ni buku3 asee tusisumbuane huku na huku nikamwambia sitoi Hela nyingine Mimi nilijua huduma hizo zingine ni offer muwe mnasema kabla hujafanya ...yule dada alinifyonza Hadi Leo sijawahi fyonzwa vile asee... Nikaenda baada ya wiki nikaendapo Tena nikamkuta yule dada ......
 
Tatizo wengi ukiwaambia hauoshi au kufanya scrub mood inabadilika kabisa wanakuona kama ndezi fulani tu wakati hapo umelipia hata buku tano kunyoa.
Mi huwa very straight sichekeshi mkuu wanune wasinune watajua wao...

Ila wana viushawishi wale mbwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Endelea kaka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Sasa wenyewe wale wapiii. Kijana akijituma kidogo, inapendeza mukimuunga mkono kwenye kazi yake.
 
Endelea kaka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Maongezi hayakuwa mengi hata kinyozi alikuwa mwingine ila mdada alikuwepo na nilienda kutengeneza ndevu nikauliza bei akaniambia. Style Yao Ile Ile hamia pale Nilipofika tu yule dada akanimbia ni buku2 nikamwambia sawa akafanya mwisho nikampa 5000 nikaondoka na yule kinyozi nae niliacha5000 vilevile. Nikamwambia yule Mimi nikija hapa msinioshe Huwa sipendelei akacheka tu ikaisha
 
Binafsi bint muoshaji akiwa na chuchu konzi akiniosha harafu vile vichuchu viniguse usoni na kichawani nakubali...
 
,,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ we jamaa ni mtata sana actual
 
Miaka ya nyuma niliingia saluni moja nikanyoa, sasa nikaambiwa kaa hapo uoshwe, maji yalikuwa ya uvuvi vugu, huyo dada akaanza kuniosha taratibu huku anapitisha vidole masikioni huku akiniongelesha kama nafurahia huduma, Dah huku kwa abdalah jicho moja hali ilikuwa mbaya, na anajua kabisa ndio anazidisha huku anakuangalia jicho la macho kumchuzi, nikamwambia inatosha nikanyenyuka, sikugeuka nyuma na chenj nilimuachia, sitakagi tena mambo ya kuoshwa oshwa
 
Kuna mahali inabidi tu. Imagine unyolewe halafu akuambie hamia pale bila maelezo mengine mara anakuja mdada kukuosha na kudai uso wako una mafuta aanze kazi ambayo wewe haijakupeleka mle.

Kataa Ili wajifunze.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ugumu huo wanao wachache sana ujue sio wote an...

Yaan wachache mnooo
 
 

Attachments

  • IMG_20230704_100803_148.jpg
    42.1 KB · Views: 2
Kuingizwa kwenye kile chumba cha kuoshea ni kuingia kaburini kwa style nyingine .Kwa nini ujitakie shida zisizo za lazima.Thamani ya maisha yangu naijua mwenyewe
Kile chumba mbona kipo laribu na cha kunyolea, yanaendeleaga mengine mle ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…