Hii ni Kwa timu nzima ya kina joni au timu sifia sifia.
Haupo uhakika leo kama kina mwashambwa usingizi wataupata. Kwa hakika hali zao haziwezi kuwa hali.
Haupo uhakika Mama atawachukulia je tena. Kwa maana kilichosemwa let o, ndiyo ulio ukweli wenyewe. Kwamba Hawa ni vijana walio wa hovyo kabisa, wasiokuwa na mchango wowote kwa taifa hili.
Iliwawia vigumu kuelewa tofauti ya msamaha na baraka kwa wakosaji. Ilikuwa kelele moja kwa moja. Mbona kumepiga kimya? Kwani imekuwa je tena?
Wakosaji husamehewa 7x70 ila matendo yao hayawezi kubarikiwa.
Ni Slaa au COVID-19? Wakiomba msamaha nani hatawasamehe? Hata hivyo makosa yao hayawezi kuwa na baraka. Wakiomba msamaha hatuendelei tulipo. Tunarudi ground zero.
Poleni chawa wa Mama zama za awamu za giza hazipo tena.
Kwa sasa jiandaeni kuendelea kuzodolewa mchana mchana.
Hiiiiiiii... !