Kwa Jkt sio JW??Leo shemeji yangu mjeshi kanitembelea lakini muda wote ni kumtaja boss wao wa zamani kuwa angekuwepo nao leo hii wangekuwa na tabasamu kama majirani zao Jw. Nimejaribu kumdadisi kulikoni lakini hataki kufunguka zaidi ya kutoa tu sifa kwa Brigedia Mbuge kuwa laiti angekuwepo bado. Nimewaza huendi kakosa zile bia zao lakini sina uhakika. Nadhani kuna haja kitengo kijaribu ku dig down.
Mmh acha uongoMeja general Mbuge, bado rank moja awe General kamili
Unataka kubisha sasa, haya ni lieutenant Charles Mbuge
Alishapanda muda tu kutoka KanaliWee mtengeneza maneno na huyo shemeji yako hamjui mbuge wala jkt inaonekana...mbuge sio brigedia kwanza ujue hilo
Wee mtengeneza maneno na huyo shemeji yako hamjui mbuge wala jkt inaonekana...mbuge sio brigedia kwanza ujue hilo
Unataka kubisha sasa, haya ni lieutenant Charles Mbuge
Acha ubishi hadi Magufuli anafariki Mbuge alishafika Meja jenerali. Huo ubrigadia alishatoka miaka hivi sasaAlishapanda muda tu kutoka Kanali
Aaah wapi wakwende hukoUnatafuta kupigwa mbata, hawa watu hawapendi kuongelewa...
After kanali anafata brigedia general then meja general, Mbuge ni Meja General, alipewa kipindi Mh Magufuli anampa ukuu wa JKT. Of course, kwa watu ambao washawahi kuongozwa na Mbuge lazima wawe wamemmiss, ni top leader, anajua sana jamaa. Bila yale maandamano ya JKT waliojenga ikulu kugoma, pengine bado angekuwa mkuu wa JKT. Anyways, maisha popote.Si alipandishwa na Mzee magu? Au after kanali kinafata cheo gani
Meja JeneralAcha ubishi hadi Magufuli anafariki Mbuge alishafika Meja jenerali. Huo ubrigadia alishatoka miaka hivi sasa
JPM ndiyo alimpandisha hadi cheo hicho akiwa Mkuu wa JKT, naona hajapanda hadi hivi sasa na sidhani kama kwenye system watu wanamhitaji wanashindwa kumwondoa tu na kumrudisha jeshini. Cheo hicho akienda kukaa bila madaraka kule JWTZ haitoleta picha nzuri, wanampiga danadana tu leo yuko kesho kule.Meja JeneralView attachment 2675346
Bado rank mbili bwanaUnataka kubisha sasa, haya ni lieutenant Charles Mbuge
Roho mbaya tu zao jamaa ni mpiga Kaz haswaJPM ndiyo alimpandisha hadi cheo hicho akiwa Mkuu wa JKT, naona hajapanda hadi hivi sasa na sidhani kama kwenye system watu wanamhitaji wanashindwa kumwondoa tu na kumrudisha jeshini. Cheo hicho akienda kukaa bila madaraka kule JWTZ haitoleta picha nzuri, wanampiga danadana tu leo yuko kesho kule.
1.general(****)Meja general Mbuge, bado rank moja awe General kamili
Wapigaji hawamtaki sababu ya weledi wakeRoho mbaya tu zao jamaa ni mpiga Kaz haswa