Leo shemeji yangu mjeshi kanitembelea lakini muda wote ni kumtaja boss wao wa zamani kuwa angekuwepo nao leo hii wangekuwa na tabasamu kama majirani zao Jw. Nimejaribu kumdadisi kulikoni lakini hataki kufunguka zaidi ya kutoa tu sifa kwa Brigedia Mbuge kuwa laiti angekuwepo bado. Nimewaza huendi kakosa zile bia zao lakini sina uhakika. Nadhani kuna haja kitengo kijaribu ku dig down.