Imekuwaje Brigedia Mbuge akumbukwe ghafla huko jkt.

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
2,971
Reaction score
6,607
Leo shemeji yangu mjeshi kanitembelea lakini muda wote ni kumtaja boss wao wa zamani kuwa angekuwepo nao leo hii wangekuwa na tabasamu kama majirani zao Jw. Nimejaribu kumdadisi kulikoni lakini hataki kufunguka zaidi ya kutoa tu sifa kwa Brigedia Mbuge kuwa laiti angekuwepo bado. Nimewaza huendi kakosa zile bia zao lakini sina uhakika. Nadhani kuna haja kitengo kijaribu ku dig down.
 
Kwa Jkt sio JW??
 
Si alipandishwa na Mzee magu? Au after kanali kinafata cheo gani
After kanali anafata brigedia general then meja general, Mbuge ni Meja General, alipewa kipindi Mh Magufuli anampa ukuu wa JKT. Of course, kwa watu ambao washawahi kuongozwa na Mbuge lazima wawe wamemmiss, ni top leader, anajua sana jamaa. Bila yale maandamano ya JKT waliojenga ikulu kugoma, pengine bado angekuwa mkuu wa JKT. Anyways, maisha popote.
 
Acha ubishi hadi Magufuli anafariki Mbuge alishafika Meja jenerali. Huo ubrigadia alishatoka miaka hivi sasa
Meja Jeneral
Screenshot_20230701-212630_Chrome.jpg
 
JPM ndiyo alimpandisha hadi cheo hicho akiwa Mkuu wa JKT, naona hajapanda hadi hivi sasa na sidhani kama kwenye system watu wanamhitaji wanashindwa kumwondoa tu na kumrudisha jeshini. Cheo hicho akienda kukaa bila madaraka kule JWTZ haitoleta picha nzuri, wanampiga danadana tu leo yuko kesho kule.
 
Roho mbaya tu zao jamaa ni mpiga Kaz haswa
 
Back
Top Bottom