Imekuwaje magazeti yote ya leo kutumia picha moja?

Kuna miaka mingi imepita nilihudhuria mikutano ya rais mnne katika sehemu tofauti za karibu karibu

Kwenye hizo sehemu Rais alivaa mavazi tofauti tofauti ndipo nikapata picha ya kiongozi wa nchi
 
Magazeti karibu yote kwenye front page yameweka picha ikumuonyesha askofu niwemguzi akimwinamia ssh, je hii picha imetoka wapi na kusambazwa na nani. Je ina uhusiano na kujilinganisha na Mungu?
Picha?
 
Kuna miaka mingi imepita nilihudhuria mikutano ya rais mnne katika sehemu tofauti za karibu karibu
Kwenye hizo sehemu Rais alivaa mavazi tofauti tofauti ndipo nikapata picha ya kiongozi wa nchi
Hiyo picha uliyoipata ikoje?
 
Magazeti karibu yote kwenye front page yameweka picha ikumuonyesha askofu niwemguzi akimwinamia ssh, je hii picha imetoka wapi na kusambazwa na nani. Je ina uhusiano na kujilinganisha na Mungu?
UKIOMBWA UWEKE PICHA USISHANGAE... NAANZA, weka picha
 
Kwani sio kuwa kuna protokali ya kuinama kidogo mbele ya Rais haswa anapokuwa kwenye halaiki??

Weka picha tuone kiwango cha kuinama kikoje...
You are right. In the African context, greetings to your elders, also those in power, is accompanied with a little bending to show respect for those in power and elders. Sijui Ni fikra za utwana na ubwana au .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…