Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kauli gani? Hivi huwa mnafikiria sawa sawa?C in C
kuwa makini na kauli zako
Good observationMagazeti karibu yote kwenye front page yameweka picha ikimuonesha askofu Niwemguzi akimuinamia SSH, je hii picha imetoka wapi na kusambazwa na nani.
Je ina uhusiano na kujilinganisha na Mungu?
View attachment 21281737
View attachment 2128185
View attachment 2128187
View attachment 2128188
View attachment 2128189
View attachment 2128191
Maana yake Mhariri wa media zote bongo ni Mtu mmojaMagazeti karibu yote kwenye front page yameweka picha ikimuonesha askofu Niwemguzi akimuinamia SSH, je hii picha imetoka wapi na kusambazwa na nani.
Je ina uhusiano na kujilinganisha na Mungu?
View attachment 21281737
View attachment 2128185
View attachment 2128187
View attachment 2128188
View attachment 2128189
View attachment 2128191
Hii siyo coincidence hata kidogo. Wengi wamechangia hapa lakini naona hawajagundua hili ni janga kubwa kwa nchi. Haya magazeti yote ina maana yanapokea amri kutoka sehemu moja na wahariri wake wote wanaweza kuwa ni watumishi wa kitengo!Good observation
Inaweza kuwa pia ni mapungufu ndani ya magazeti yenyewe . Hata hivyo kitaalum ya uandishi wa habari siyo dhambi ku share picha.Hii siyo coincidence hata kidogo. Wengi wamechangia hapa lakini naona hawajagundua hili ni janga kubwa kwa nchi. Haya magazeti yote ina maana yanapokea amri kutoka sehemu moja na wahariri wake wote wanaweza kuwa ni watumishi wa kitengo!
No. Hii ni calculated movieInaweza kuwa pia ni mapungufu ndani ya magazeti yenyewe . Hata hivyo kitaalum ya uandishi wa habari siyo dhambi ku share picha.
Haya magazeti yote si ya Ccm sasa unashangaa nini?Magazeti karibu yote kwenye front page yameweka picha ikimuonesha askofu Niwemguzi akimuinamia SSH, je hii picha imetoka wapi na kusambazwa na nani.
Je ina uhusiano na kujilinganisha na Mungu?
View attachment 21281737
View attachment 2128185
View attachment 2128187
View attachment 2128188
View attachment 2128189
View attachment 2128191
Hiyo ni salaam ya koronaHivi kitend cha kumuinamia Rais hivo sio kumuabudu?
Wahariri siku hizi wanasifia kila kitu hakuna weledi tena.
Kama huyaoni hayo magazeti niliyoyaweka basi nadhani umetoka Mirembe, bado ujapona.Acha uongo
2,000
Magazeti karibu yote kwenye front page yameweka picha ikimuonesha askofu Niwemguzi akimuinamia SSH, je hii picha imetoka wapi na kusambazwa na nani.
Je ina uhusiano na kujilinganisha na Mungu?
Hii siyo coincidence hata kidogo. Wengi wamechangia hapa lakini naona hawajagundua hili ni janga kubwa kwa nchi. Haya magazeti yote ina maana yanapokea amri kutoka sehemu moja na wahariri wake wote wanaweza kuwa ni watumishi wa kitengo!
Magazeti yetu ni hovyo tu. ''Waandishi'' wengi ni tia mchuzi kwangu pakavu!Ipo hivi, hiyo ni kazi ya Maafisa Habari wa Ikulu kuhakikisha picha zitazotumika hazina ukakasi kuendana na hadhi ya Urais.
Wapiga picha wa Ikulu, wanapopiga hizo picha PRO's wanachagua na kuwatumia Wahariri! Actually, ni hali ya kawaida ulimwenguni japo ethics za uandishi haziruhusu hali hiyo. Lakini mediA zitafanyaje iwapo hiyo ndiyo burning issue na picha waliyopewa ndiyo hiyo?? Si kwamba wameigana ila ndizo walizopewa