Imekuwaje magazeti yote ya leo kutumia picha moja?

Wahariri siku hizi wanasifia kila kitu hakuna weledi tena.
 
Mkuu hii picha imepigwa na na mpiga picha mmoja wa Ikulu,na ndiye ametuma kwenye hizo media nyingine yawezekana hawakuwa wapiga picha wa vyombo vingine,tatizo ni la mpiga picha kuwa na picha moja tu.
 
Covid 19, ata kanisani tunainamiana badala ya kushikana mikono
 
Ndio maana siku hizi nimeacha kwenda misa.
 
Mzee Kenyatta aliwahi kuwaita watanzania nyangau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…