Imekuwaje magazeti yote ya leo kutumia picha moja?

Rais amefika kwetu Rulenge, ni kweli ametuheshimisha sana. Ukitoka hapo kanisani ukivuka hiyo barabara upande wako wa kulia kuna kiwanja cha ndugu zake Baba wanaishi hapo. Hapo ni nyumbani kabisa.
 
Nchi Ina Siri say hii, kumbe wamachinga Wana gazeti lao siku hzi na hamsemi.
 
"Watiini wenye mamlaka na kuwaongoza", imeandikwa kwenye msahafu wa wakristo.
 
Hiyo picha imepenyezwa na "watu wa system" kumjibu Askofu Niwemugizi kwamba yeye ndo alianza kumtukuza Rais Samia na hivyo hasimjengee Mama kwamba anapenda kutukuzwa!
Kingine ni kwamba vyombo vyetu vya habari viko compromised sana!
Ndiyo maana juzi kati waliibuka na kichwa cha habari "MBOWE ALIA NJAA"!
 
Majibu....

1. Wamelazimishwa ili Kuonyesha kuwa hata Kanisa halina Ubavu kwa Mamlaka

2. Wamelazimishwa ili kutuma Ujumbe kwa Wakristo kuwa Safari hii Muislamu ataabudiwa watake wasitake

3. Wamelazimishwa ili kuonyesha kuwa kumbe hata Kanisa Katoliki lenye Nguvu na Ushawishi mkubwa hata wa Kisiasa nchini Awamu hii ya Sita nalo limekubali Kulamba Miguu ya Muislamu mwenye nchi.

4. Vyombo vya Habari vimelazimishwa kuiweka hiyo Picha kama sehemu ya Kuabudu Mamlaka na atakayekataa hapati Matangazo ya Serikali ambayo ndiyo kwa 95% yanawalipa vyema

Kila Ia Kheri.
 
Nina miaka mingi sisomi magazeti ya bongo ila nilichunguza kuthibitisha nililokuwanalo moyoni

Sawa mkuu ila sisi wengine tulishayajua muda mrefu na hatushughulishi kuyasoma kabisa.
 
Ila ukweli unabaki palepale, awamu ya tano na ya sita hatuna rais, hatuna viongozi bali wahuni na mafisadi walioingia madarakani kihuni
 
Unashangaa kuinama ASUBUHI UNAMUAMKIA BABA YAKO SHIKAMOO...
UNAJUA MAANA YA SHIKAMOO?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…