bikira latifah
JF-Expert Member
- Oct 27, 2016
- 836
- 2,805
hawawezi kuwaalika vichaa ..raisi wa mchongo anaropoka pumba hovyoo kama mwendawazimu , nani amualike?Nimefuatilia leo mkutano wa kuweka saini amani kati ya Rwanda na Congo naona Trump kawaalika kenya,Burundi kama mashahidi Tz imerukwa
Ikumbukwe kuwa Tz ndio ilikuwa mstari wa mbele kupigania amani ya congo tumepoteza masolja wengi sana kule zaidi ya kenya saaasa mbona Tz skuizi tunawekwa kando tena nlitegemea samuya angekuwepo white house leo
Duhhawawezi kuwaalika vichaa ..raisi wa mchongo anaropoka pumba hovyoo kama mwendawazimu , nani amualike?
soonTanzania inapoelekea ipo siku Burundi na Rwanda watakuja kutupatanisha.
Ruto anapiga biashara.soon
vibaka?
Yaani kurudisha heshima yetu ni kuiondoa tu CCM. Bila hivyo tutaweka kundi moja na SomaliaNimefuatilia leo mkutano wa kuweka saini amani kati ya Rwanda na Congo naona Trump kawaalika kenya,Burundi kama mashahidi Tz imerukwa
Ikumbukwe kuwa Tz ndio ilikuwa mstari wa mbele kupigania amani ya congo tumepoteza masolja wengi sana kule zaidi ya kenya saaasa mbona Tz skuizi tunawekwa kando tena nlitegemea samuya angekuwepo white house leo
Uganda alikuwepo kenge wewe..alikuwepo Vice PresidentWala hakuna haja ya Tanzania kualikwa sababu, vita ni kati ya Rwanda na Congo, hata Uganda hakualikwa japo ana majeshi ya ndani ya Congo, na M23 kinara wa vita pia hakualikwa
Kaeni kwa kutulia....