Imekuwaje Mkataba wa Amani kati ya Congo na Rwanda, Tanzania tumewekwa kando?

Katika geopolitics Kwa sasa hatuna ushawishi tena kikanda au kimataifa, zaidi tunahitaji kusaidiwa.
Tanzania ya leo, inadharaulika sana, mpaka sasa anayejiita Rais wa Tanzania hawezi kutoka na kauli ikaheshmika. Nyerere alizunguka dunia nzima na kote akiheshmika, Mwinyi aliwaita Rais wa Rwanda na Burundi, Arusha na wakatii, Mkapa akapewa hadi uenyekiti wa utandawazi duniani hadi akamleta Də Sotto kushauri mambo yamkukuta na Kikwete alikuwa mtu Muhimu katika maridhiano ya Kenya 2008.Huyu wa sasa hana legitimacy na hawezi kuwa na nguvu kimataifa.
 
Wala hakuna haja ya Tanzania kualikwa sababu, vita ni kati ya Rwanda na Congo, hata Uganda hakualikwa japo ana majeshi ya ndani ya Congo, na M23 kinara wa vita pia hakualikwa
Kaeni kwa kutulia....
Mkuu kwani Raisi wa Uganda anasafiri kweli maana sijawahi kumuona wala kusikia kaenda Ulaya
 
Nimefuatilia leo mkutano wa kuweka saini amani kati ya Rwanda na Congo naona Trump kawaalika kenya,Burundi,Uganda kama mashahidi Tz imerukwa

Ikumbukwe kuwa Tz ndio ilikuwa mstari wa mbele kupigania amani ya congo tumepoteza masolja wengi sana kule zaidi ya kenya saaasa mbona Tz skuizi tunawekwa kando tena nlitegemea samuya angekuwepo white house leo

Pia naambiwa makamu wa Raisi wa uganda alikuwepo Tz imewekwa kando je kuna nini?
Who are you?
 
Sisi tuna amani Migogoro waachie wao
 
mbona wewe mbishi hivi, unaambiwa Ugandan president alialikwa akatuma mwakilishi wake ambae ni Vice president Jessica Alupo bado umeshupaza shingo, ukiwa hujui kitu usiwe mbishi, uwezo wako wa kufikiria unapoishia wa wenzako ndiyo unaanzia hapo
Nje ya mada huyo Jess ndo aliambiwa she's beautiful au? Kapicha
 
Mwananchi kuilinda Tanzania ni jukumu lako

epuka kuichoma nchi yako
 
Mwananchi kuilinda Tanzania ni jukumu lako

epuka kuichoma nchi yako
 
Nimefuatilia leo mkutano wa kuweka saini amani kati ya Rwanda na Congo naona Trump kawaalika kenya,Burundi,Uganda kama mashahidi Tz imerukwa

Ikumbukwe kuwa Tz ndio ilikuwa mstari wa mbele kupigania amani ya congo tumepoteza masolja wengi sana kule zaidi ya kenya saaasa mbona Tz skuizi tunawekwa kando tena nlitegemea samuya angekuwepo white house leo

Pia naambiwa makamu wa Raisi wa uganda alikuwepo Tz imewekwa kando je kuna nini?
Bi. Mkora hana ushawishi.
 
Hamjawekwa kando:

Au point zéro, parmi les ennemis neutralisés par Twirwaneho figuraient 5 militaires tanzaniens. Selon nos sources, deux bataillons de commandos tanzaniens se trouvent actuellement à Fizi, et certains militaires ont été déployés à Minembwe pour renforcer les FARDC et les militaires burundais dans les attaques contre les Banyamulenge

Taarifa hii, inaeleza kilichotokea huko Kivu kusini, sehemu ijulikanayo kama Point Zero(Ziro Pointi). Inaeleza kuwa makomando 5 wa JWTZ wameuwawa. Kwa taarifa zilizopo, ni kwamba bataliani 2 za wanajeshi wa Tanzania, zipo eneo la FIIZI, na baadhi ya wanajeshi wamepelekwa huko Minembwe kuwasaidia jeshi la DRC na la Burundi, katika jitihada za kukabiliana na kundi la TWIRWANEHO, lililoungana na AFC/M23.
 
Nous attendrons vrament statement de Nation de la Tanzania, c'est mauvais
 
Back
Top Bottom