Imekuwaje Mkataba wa Amani kati ya Congo na Rwanda, Tanzania tumewekwa kando?

Nimefuatilia leo mkutano wa kuweka saini amani kati ya Rwanda na Congo naona Trump kawaalika kenya,Burundi,Uganda kama mashahidi Tz imerukwa

Ikumbukwe kuwa Tz ndio ilikuwa mstari wa mbele kupigania amani ya congo tumepoteza masolja wengi sana kule zaidi ya kenya saaasa mbona Tz skuizi tunawekwa kando tena nlitegemea samuya angekuwepo white house leo

Pia naambiwa makamu wa Raisi wa uganda alikuwepo Tz imewekwa kando je kuna nini?
acha usengerema! Sema samuya na serikali yake wamewekwa kando na sio Tanzania!
 
Wala hakuna haja ya Tanzania kualikwa sababu, vita ni kati ya Rwanda na Congo, hata Uganda hakualikwa japo ana majeshi ya ndani ya Congo, na M23 kinara wa vita pia hakualikwa
Kaeni kwa kutulia....
Anachouliza mtoa mada ni kwamba mwanzoni Tanzania alikuwa mstari wa mbele kutetea amani huko, kwasasa imekuwaje?
 
Nimefuatilia leo mkutano wa kuweka saini amani kati ya Rwanda na Congo naona Trump kawaalika kenya,Burundi,Uganda kama mashahidi Tz imerukwa

Ikumbukwe kuwa Tz ndio ilikuwa mstari wa mbele kupigania amani ya congo tumepoteza masolja wengi sana kule zaidi ya kenya saaasa mbona Tz skuizi tunawekwa kando tena nlitegemea samuya angekuwepo white house leo

Pia naambiwa makamu wa Raisi wa uganda alikuwepo Tz imewekwa kando je kuna nini?
Kuialika na kuishirikisha Tanzania chini ya dictator Samia Idd Amin Mama ni kunajisi mpango mzima, mtu anayemiliki na kufadhili kikosi cha kulawiti, kuteka na kuua ndiyo aalikwe kwenye kikao kinachohusu amani eneo la maziwa makuu itakuwa ni ukosefu wa akili. Tanzania kwa sasa kimataifa ni kama Somalia.
 
images.png
 
Nayaangalia machoko ya kitima yanavyojitekenya na kuchemka yenyewe nabaki kucheka tu. Bado saaaaana Tanzania kufika huko mnakowaza nyie vifurukunyoko. Hamjui chochote kuhusu hayo mambo zaidi ya kubwabwaja tu hapa.......kuongelea Yale mnayotamani yatokee.

Nawakumbusha tu, huyo Ruto anayealikwa na trump alikuwa huko icc hivi majuzi tu. Mapunga nyie!!!
Screenshot_20251205_092117.jpg

who are you!!
 
Hakuna mtu mwenye akili ataita serikali ya wapumbavu na wauaji kama Samia kwenye mikataba ya amani, now we’re worse than Fuckkin Somalia ,CCM ndio waliotufikisha hapa, lazima waondoke
Trump hataki shobo
Hata kwenye vita yukrain, anaenda kuongea na putin, hamuiti zeleski
Uganda ndio mfadhili wa Rwanda, yeye hakuitwa , kwanini Tanzania wanashawa kuitwa,?
 
Nimefuatilia leo mkutano wa kuweka saini amani kati ya Rwanda na Congo naona Trump kawaalika kenya,Burundi,Uganda kama mashahidi Tz imerukwa

Ikumbukwe kuwa Tz ndio ilikuwa mstari wa mbele kupigania amani ya congo tumepoteza masolja wengi sana kule zaidi ya kenya saaasa mbona Tz skuizi tunawekwa kando tena nlitegemea samuya angekuwepo white house leo

Pia naambiwa makamu wa Raisi wa uganda alikuwepo Tz imewekwa kando je kuna nini?
Nchi hii ishakuwa shit hole
 
Wala hakuna haja ya Tanzania kualikwa sababu, vita ni kati ya Rwanda na Congo, hata Uganda hakualikwa japo ana majeshi ya ndani ya Congo, na M23 kinara wa vita pia hakualikwa
Kaeni kwa kutulia....
Weee Uganda alialikwa vizuri sana na vice president wa Uganda alimwakilisha museveni
 
Subutuuu, uganda ilialikwa na alikuwepo makamu wa Rais wa Uganda kumuwakilisha museven alie bize na kampeni za uchaguzi
Trump hataki shobo
Hata kwenye vita yukrain, anaenda kuongea na putin, hamuiti zeleski
Uganda ndio mfadhili wa Rwanda, yeye hakuitwa , kwanini Tanzania wanashawa kuitwa,?
 
Kule Uvira wanaita JWTZ Mesenariz yaani hatuna tofauti na wale wazungu waliokodiwa Kuuwa wakongo man kwa kumpigania Rais Falla.
 
Msiwe mnampa kvant huyu bi chura
ona sasa katoa boko dunia nzima inatudharau

Tumekosa ushawishi kwenye kila kitu!
 
Kwanza, Tanzania haina Rais aliyechagiliwa kihalali na hivyo hatuna kiongozi ngazi ya kitaifa.

Pili, Tanzania badala ya kuwa mpatanishi na kinara wa kutatua migogoro kwenye ukanda wetu, tumejiingiza kuuchochea tukichagua upande wa DRC hadi kufikia kupeleka jeshi letu huko kushiriki vita vya wenyewe kwa wenyewe. Tanzania iko "Biased" kwa sasa na tuko kwenye kiwango cha chini kabisa kidiplomasia.
 
Nimefuatilia leo mkutano wa kuweka saini amani kati ya Rwanda na Congo naona Trump kawaalika kenya,Burundi,Uganda kama mashahidi Tz imerukwa

Ikumbukwe kuwa Tz ndio ilikuwa mstari wa mbele kupigania amani ya congo tumepoteza masolja wengi sana kule zaidi ya kenya saaasa mbona Tz skuizi tunawekwa kando tena nlitegemea samuya angekuwepo white house leo

Pia naambiwa makamu wa Raisi wa uganda alikuwepo Tz imewekwa kando je kuna nini?
Kwenye mambo ya wastaarabu vibwengo wanaingiaje?
 
Back
Top Bottom