wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,597
- 29,527
IpiSababu ipo wazi....
IpiSababu ipo wazi....
DuhTanzania inapoelekea ipo siku Burundi na Rwanda watakuja kutupatanisha.
mbona wewe mbishi hivi, unaambiwa Ugandan president alialikwa akatuma mwakilishi wake ambae ni Vice president Jessica Alupo bado umeshupaza shingo, ukiwa hujui kitu usiwe mbishi, uwezo wako wa kufikiria unapoishia wa wenzako ndiyo unaanzia hapoTrump hataki shobo
Hata kwenye vita yukrain, anaenda kuongea na putin, hamuiti zeleski
Uganda ndio mfadhili wa Rwanda, yeye hakuitwa , kwanini Tanzania wanashawa kuitwa,?
Hatakiwi na watu wenye akili timamu
Unamaanisha rasilimali kwa sasa haziibiwi?Nikiwahi kusoma mahali!
"Amani ikipatikana Congo,yanayotokea Congo ndio yatatokea Tanzania"
Kuna dalili ya wazi kabisa kwamba siasa za Sasa zinaenda kuzalisha makundi ya waasi nchini na wizi wa rasilimali utaanza rasmi nchini!
Inasemekana Kwa utajiri hapa Africa Congo ni ya kwanza kirasilimali na Tanzania ni ya pili!
Sasa kama Congo amani inapatikana basi mabeberu yatahamia Tanzania ku destabilize!!!
No reforms no election imetufikisha huku na mwito wa maandamano ndio lango la Congo mpya ya machafuko ndani Tanganyika!
Nawaza,nipo tayari kukosolewa comrades!
Nikiwahi kusoma mahali!

Nimefuatilia leo mkutano wa kuweka saini amani kati ya Rwanda na Congo naona Trump kawaalika kenya,Burundi,Uganda kama mashahidi Tz imerukwa
Ikumbukwe kuwa Tz ndio ilikuwa mstari wa mbele kupigania amani ya congo tumepoteza masolja wengi sana kule zaidi ya kenya saaasa mbona Tz skuizi tunawekwa kando tena nlitegemea samuya angekuwepo white house leo
Pia naambiwa makamu wa Raisi wa uganda alikuwepo Tz imewekwa kando je kuna nini?
Aalikwe akafanye Nini?!Nimefuatilia leo mkutano wa kuweka saini amani kati ya Rwanda na Congo naona Trump kawaalika kenya,Burundi,Uganda kama mashahidi Tz imerukwa
Ikumbukwe kuwa Tz ndio ilikuwa mstari wa mbele kupigania amani ya congo tumepoteza masolja wengi sana kule zaidi ya kenya saaasa mbona Tz skuizi tunawekwa kando tena nlitegemea samuya angekuwepo white house leo
Pia naambiwa makamu wa Raisi wa uganda alikuwepo Tz imewekwa kando je kuna nini?
Hayo mawazo ya hovyo sana. Yaani CCM mfanye uharamia halafu msingizie wengine. Bora mabeberu yanaheshimu haki za binadamu, CCM mnaua watu hovyo ili mbaki Mandarakani. Kama rasilimali hazina faida kwa wanachi zaidi ya CCM, zinafaida gani sasa?Nikiwahi kusoma mahali!
"Amani ikipatikana Congo,yanayotokea Congo ndio yatatokea Tanzania"
Kuna dalili ya wazi kabisa kwamba siasa za Sasa zinaenda kuzalisha makundi ya waasi nchini na wizi wa rasilimali utaanza rasmi nchini!
Inasemekana Kwa utajiri hapa Africa Congo ni ya kwanza kirasilimali na Tanzania ni ya pili!
Sasa kama Congo amani inapatikana basi mabeberu yatahamia Tanzania ku destabilize!!!
No reforms no election imetufikisha huku na mwito wa maandamano ndio lango la Congo mpya ya machafuko ndani Tanganyika!
Nawaza,nipo tayari kukosolewa comrades!
Ndo kilichobaki, matusi basi........gooooo, mama Samia, goooooo!!!Trump hawezi kumualika mpumbavu
Hawamtaki SamiaNimefuatilia leo mkutano wa kuweka saini amani kati ya Rwanda na Congo naona Trump kawaalika kenya,Burundi,Uganda kama mashahidi Tz imerukwa
Ikumbukwe kuwa Tz ndio ilikuwa mstari wa mbele kupigania amani ya congo tumepoteza masolja wengi sana kule zaidi ya kenya saaasa mbona Tz skuizi tunawekwa kando tena nlitegemea samuya angekuwepo white house leo
Pia naambiwa makamu wa Raisi wa uganda alikuwepo Tz imewekwa kando je kuna nini?
Mkuu vipi Kikwete anatumiwa na mabeberu kuingawa nchi?Nikiwahi kusoma mahali!