Imekuwaje Rais wa El Salvador ameweza kuushinda uharifu hatari kwa muda mfupi ila nchi kama Mexico inachechemea?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Huyu mwamba wa El Salvador ana hasira sana, hadi akamwambia trump wewe niletee mu-salvador yoyote anaewasumbua huko Marekani, trump akamtumia lukuki 🤣

Jamaa ameweza kupambana na magenge hatari ya madawa ya kulevya nchi mwake kupelekea uharifu na vifo kupungua kwa kasi ya kihistoria

Cartels hapo Mexico zimekuwa tishio hatari, kiongozi yoyote anaejitokeza kuwaongelea anatekwa na kuulia. Mimi naamini sio kwamba Mxco inashindwa kupambana na makundi hawa ila ni kwamba viongozi na wana usalama wao wamekuwa connected na cartels kwa kupokea rushwa thus kupelekea unafiki mkubwa katika kupambana na uharifu.

20250321_122449.jpg
 
Na kwa kuongeza ukiingia jela huko lazima cherehani ikuhusu ,sasa ulete usharobaro wako wakuvunja sindano.Utakula mikwaju mpaka useme ni nini hiki.Lazima ujue kushona kaptula na mashati .
 
Huyu mwamba wa El Salvador ana hasira sana, hadi akamwambia trump wewe niletee mu-salvador yoyote anaewasumbua huko Marekani, trump akamtumia lukuki 🤣

Jamaa ameweza kupambana na magenge hatari ya madawa ya kulevya nchi mwake kupelekea uharifu na vifo kupungua kwa kasi ya kihistoria

Cartels hapo Mexico zimekuwa tishio hatari, kiongozi yoyote anaejitokeza kuwaongelea anatekwa na kuulia. Mimi naamini sio kwamba Mxco inashindwa kupambana na makundi hawa ila ni kwamba viongozi na wana usalama wao wamekuwa connected na cartels kwa kupokea rushwa thus kupelekea unafiki mkubwa katika kupambana na uharifu.
View attachment 3278545
Na ni Rais kijana kabisa
 
Umesikia kilichompata rais mstaafu wa ufilipino, huenda naye akakamatwa baada ya kuondoka madarakani maana washenzi wale huwa wahalifu wakianza shughulikiwa wanataka washughulikiwe kwa kupetiwa.
Kuna wahalifu lugha pekee wanayoweza kuielewa ni kuwapelekea moto
 
Ni kuamua tu. Rais ni taasisi kubwa sana. Lolote akiamua kwa dhati ni rahisi kushinda. Si uliona Magu alivyorudisha utendaji wa haki maofisini?. Alivyodhibiti ufisadi?. Ona sasa.
Utendaji haki upi huo aliouleta?

Huu wa Akina Sabaya kupora watu nakuwajerui kibabe?wa akina makonda kuonea watu na kua kama miungu watu?
 
Huyu mwamba wa El Salvador ana hasira sana, hadi akamwambia trump wewe niletee mu-salvador yoyote anaewasumbua huko Marekani, trump akamtumia lukuki 🤣

Jamaa ameweza kupambana na magenge hatari ya madawa ya kulevya nchi mwake kupelekea uharifu na vifo kupungua kwa kasi ya kihistoria

Cartels hapo Mexico zimekuwa tishio hatari, kiongozi yoyote anaejitokeza kuwaongelea anatekwa na kuulia. Mimi naamini sio kwamba Mxco inashindwa kupambana na makundi hawa ila ni kwamba viongozi na wana usalama wao wamekuwa connected na cartels kwa kupokea rushwa thus kupelekea unafiki mkubwa katika kupambana na uharifu.

View attachment 3278545
El salvador pakiwa na tetesi tu wewe muuza ngada,mhalifu, unaenda kuwekwa bandani uache raia wafuata sheria waishi kwa amani,so kwa mtindo huo wengi waso hatia wapo zizini
 
Back
Top Bottom