mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 7,894
- 22,679
Yes , gun the only language they can understand. Ku dili na mafia lazima utumie njia za kimafia ..Umesikia kilichompata rais mstaafu wa ufilipino, huenda naye akakamatwa baada ya kuondoka madarakani maana washenzi wale huwa wahalifu wakianza shughulikiwa wanataka washughulikiwe kwa kupetiwa.
Kuna wahalifu lugha pekee wanayoweza kuielewa ni kuwapelekea moto