PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 14,521
- 46,663
Uchumi wa Mexico unategemea cocaine hata viongozi wake wanatokana na cartel
Mlugulu inaonekana ushoga na uchoko umekujaa sana wameshakuaribu unapumuliwa sana mpaka akili yako imedhoofu hata kujibu hoja unashindwa unaamua kutangaza biashara yako ya uchoko kimkakati, humu hakuna wanaoshobokea vinyeo vya wanaumeKuna muda watu wakiongea ishu za maana na wewe uwe unajaribu kuweka ushoga na uchoko pembeni,sasa angeweza kuwadhibiti watu kama hao ndani ya miaka mitano tu au huoni kuwa alizungukwa na watu wa ajabu ajabu wengi tu.
Hao chadema wenyewe umeona jinsi walivyomlia timing mkt wao mpaka wamemla kichwa.
Hivyo kaa ujue mabadiliko ya kweli yanachukua muda sometimes kuna watu wanakuzunguka kwa upande wako ni marafiki ila nje huko vitendo vyao ni vichafu na vinalenga kuharibu image ya utawala wako,hizo akili za kutaka kila kitu kikae sawa ndani ya muda mfupi ni akili za kike.
Marekani kwenyewe wanapojidai kupiga vita ndio Kuna vigogo wakubwa wauza unga duniani na soko kubwa lipo USAAsee lile eneo ni ngumu kudhibiti hii biashara... imagine ukiacha Mexico, kuna Venezuela,Colombia,Honduras, Panama na Ecuador... halafu hiyo biashara kufa pale ni uongo maana pale meli zinazoenda na kutoka sehemu toyote kwenye hii dunia hupita pale kwenye mfereji wa Panama ndio maana hiyo biashara imejikita mizizi eneo hilo
KaUpimaji wa takwimu wowote wanaangalia in general. Hao akina sabaya,bashite na sapi ,hao ni sehemu ndogo sana ya jamii. Lakini enzi za Magu ofisi karibia zote utendaji ulirudi juu. Ile hamisha hamisha ilifanya kila mgeni ofisini anaonekana mchunguzi,na ile yeye kuibuka bila taarifa maofisini iliwaafanya wapige kazi bila kujali nani anamhudumia.
Ona sasa watendaji huwakuti ofisini kwa wakati. Bila mkono mrefu utasubiri sana kupata huduma. Utendaji umerudi chini,hawakujali.
Wale jamaa waone tu hivi ni wanafiki sanaMarekani kwenyewe wanapojidai kupiga vita ndio Kuna vigogo wakubwa wauza unga duniani na soko kubwa lipo USA
🤣🤣🤣Na kwa kuongeza ukiingia jela huko lazima cherehani ikuhusu ,sasa ulete usharobaro wako wakuvunja sindano.Utakula mikwaju mpaka useme ni nini hiki.Lazima ujue kushona kaptula na mashati .