RoadLofa
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 2,021
- 4,488
Katika pitapita zangu fb mara nikakutana na video ya Vicky Kamata kajipost facebook kwenye page yake akiuza sura na gwanda ya Tawa akiwa kwenye gari akielekea kwenye majukumu yake maana kwa sasa ni kamishina msaidizi mwandamizi TAWA
Aisee kucheck comment watu wanaponda balaa ila na mimi kwa uelewa wangu nilishangaa maana sio kawaida kwa watumishi wa umma kufanya hivyo na nahisi kwenye maadili ya utumishi wa umma hairuhusiwi
comment za watu wameponda balaa wameshangaa kafikaje hapo na vitu anavyofanya kinyume kabisa na nafasi aliyopo

Hata makamishina wenzake sidhani kama wanafanya vitu kama hivyo, au ndio utumishi umevamiwa?