tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 27,843
- 29,350
Hii nchi wakati mwingine naona ni bora hata usijue kinachoendelea maana ukijua inauma sana. Wewe fikiria kuna watu wameajiriwa miaka mingi iliyopita hawajawahi kufikia hicho cheo lakini malaya mmoja tu anakuja kupewa cheo cha chup.i kirahisi hivi.Yani nchii hii 😆😆😆😆😆, hizo nyota hapo begani wamezichukulia kama mavi matupu
Kuna watu kupata bibi na bwana inawachukua mpaka miaka 15 ya utumishi, maadili, kufuzu kozi na maovyoovyo mengi sana