Imekuwaje Vicky Kamata ni Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa TAWA!

RoadLofa

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
2,021
Reaction score
4,488
Katika pitapita zangu fb mara nikakutana na video ya Vicky Kamata kajipost facebook kwenye page yake akiuza sura na gwanda ya Tawa akiwa kwenye gari akielekea kwenye majukumu yake maana kwa sasa ni kamishina msaidizi mwandamizi TAWA

Aisee kucheck comment watu wanaponda balaa ila na mimi kwa uelewa wangu nilishangaa maana sio kawaida kwa watumishi wa umma kufanya hivyo na nahisi kwenye maadili ya utumishi wa umma hairuhusiwi
comment za watu wameponda balaa wameshangaa kafikaje hapo na vitu anavyofanya kinyume kabisa na nafasi aliyopo

Hata makamishina wenzake sidhani kama wanafanya vitu kama hivyo, au ndio utumishi umevamiwa?

​
 
Kawa mzee
 
Kwanza amefikaje hapo wakati hajawahi kuwa mtumishi wa umma? Hii nchi inakera sana.
 
Kama ana elimu na taaluma ya kumuwezesha kuwa hapo, basi si tatizo na kinyume chake ni tatizo kubwa
kama kafika kwa haki ni sawa mi mwenye sina shida naye ila kama ni kinyume hii nchi kuna shida kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…