Hii nchi wakati mwingine naona ni bora hata usijue kinachoendelea maana ukijua inauma sana. Wewe fikiria kuna watu wameajiriwa miaka mingi iliyopita hawajawahi kufikia hicho cheo lakini malaya mmoja tu anakuja kupewa cheo cha chup.i kirahisi hivi.Yani nchii hii πππππ, hizo nyota hapo begani wamezichukulia kama mavi matupu
Kuna watu kupata bibi na bwana inawachukua mpaka miaka 15 ya utumishi, maadili, kufuzu kozi na maovyoovyo mengi sana
yah ni teuzi ,kama ni ivyo ni sawa maana sina uelewa vizuri na icho cheo,kama kipo kisheria na haina shida basi hongera kwakeThat not how ajira za hilo shirika linafanya kazi. Unaanza chini kama officer -II , as i know ni kama kala teuzi tu ya kulitangaza shirika
π€£π€£Nchi Jau sana Mtu yupo kitengo hata kusoma hajui unamtolea hela kwenye Sim ATM hataki ata kuiona... π π
"Kuna v2 huwezi kuamini ukisimuliwa mpaka ujionee"
Aliomba likizo bila malipo inaruhusiwa...kurudi ndio kapelekwa tawa.....of koz na connection anazo ...kubwa sananaskia baada ya kumaliza ubunge akarudi job .
Mbowe aombe kurudi BoTnaskia baada ya kumaliza ubunge akarudi job .
Kama Mbowe!Alikuwa mtumishi wa Umma kupitia BoT
Hii nchi wakati mwingine naona ni bora hata usijue kinachoendelea maana ukijua inauma sana. Wewe fikiria kuna watu wameajiriwa miaka mingi iliyopita hawajawahi kufikia hicho cheo lakini malaya mmoja tu anakuja kupewa cheo cha chup.i kirahisi hivi.
.Hawa ndio washikaji wa Jakaya Kikwete; mmesahau kuwa alikuwa analipwa mshahara na BOT ili hali hafanyi kazi kule mpaka alipokuja furumishwa na Magufuli? Halafu akaja kupewa ubunge wa mchongo na sasa baada ya hapo mkwere Rais kivuli wa bongo ndio kamtafutia nafasi hiyo!!!!
Duru zinasema ni MAMDOGO!!!Kwanza amefikaje hapo wakati hajawahi kuwa mtumishi wa umma? Hii nchi inakera sana.
.
Hahah naikumbuka ile Siku JPM anawakoromea BOT, kumbe na Jina la huyu dada lilikuwepo.