Kimbley
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 3,050
- 2,104
Ahahahaha nimecheka mpaka basi hakyamungu
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahaha nimecheka mpaka basi hakyamungu
Tukiwaambia kiba hana fans kama anavyowafikiria bali wengi wa mashabiki zake ni haters wa chibu haaamini. Haya sasa analalamikia nani? Hao mashabiki zake walikuwa wapi kurepost habari ya msanii wao, au macho yalikuwa yamewatoka kwenye event ya Tiffah kutafuta cha kukosoa. Au anafikiri media ni TV na redio pekee.?
Mi Nafikiri hata leo hii Diamond akiamua kufanya event bila support ya TV &radio bado atafanikiwa kwa asilimia nyingi sana hii ni kwasababu mashabiki zake kupitia social networks ni media tosha. #WCB imejitosheleza. Hii ndio maana ya Msanii kuwa na fanbase kubwa.
Kwani kina wema hawakumpost? Vipi kuhusu TBCcm nao hakumtangaza?
na sasa ni muda rasmi wa kibakuli kupoteaHuyu jamaa kama angekutana na changamoto kama za diamond sidhani kama angeendelea kuexist kwny game
Daaa kwel kbsa
Huyu jamaa kama angekutana na changamoto kama za diamond sidhani kama angeendelea kuexist kwny game
Haaaaaaahaaaaahaaaaa hicho ndicho kinachoitwa MABADILIKO
Aache kulia lia ovyo.
Angetaka coverage na support angeanza kuwafollow wasanii wenzie.
By the way, pesa za CCM zinamtosha.