Labda nikukumbushe jambo moja ili uachane na hisia za kwamba UKAWA ni Miungu Watu... kwamba, iwe jambo positive au negative, ni wao ndio wenye uwezo wa kusababisha!Teh teh na atazikosa tuzo mwaka huuu....
Kwanza mwaka jana Diamond alikuwa nominated kwenye tuzo za BET... hakupata! Mwaka huu pia alikuwa nominated kwenye tuzo za BET... pia hakupata! Kwenye MTV Mama 2015, out of 3 or 4 categories, alishinda moja sawa na wenzake! Hivyo basi, ikiwa kwenye tuzo zijazo atakosa, si kwa sababu ya akina nyie bali hilo ni jambo la kawaida!!
ALL THE BEST kwenye upigaji wa ramli!!